Hoteli iliyozunduliwa na JK yavunjwa!


Sasa kama ndo hivyo watu wanalalamikia nini wakati wanajua sheria ni msumeno inakula mbele na nyuma!
 
Sasa kama ndo hivyo watu wanalalamikia nini wakati wanajua sheria ni msumeno inakula mbele na nyuma!

Hayo umeyaona wewe. Hebu fikiri ingelikuwa ni hotel ya shemeji au kaka au mjomba au ...... ungelitaka kuuwa watu hapa. Ukipenda, chongo utasema Kengeza.

Wewe unayesema WALIPWE, nchi zanye sheria ni yeye alitakiwa kuwalipa POLISI na TANROADS yaani kwa ufupi ATULIPE SISI WALIPA KODI kwa kutuletea gharama za kijinga kwenda kubomoa kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…