Hoteli gani nzuri na ya kisasa Morogoro?

Hoteli gani nzuri na ya kisasa Morogoro?

monaco

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,184
Reaction score
1,779
Wadau habari,
Baada ya Kazi ngumu,nimeona nikapumzike Mji Kasoro bahari!
Je ni hotel gani Nzuri na ya kisasa Ambayo Ina Range 50,000-100,000
Mkoani Morogoro?
 
Nashera Hotel Comes First. You Won't Regret.
 
Nimekumbuka Nashera walipomuibia kaka Malima (RC wa mkoa wa Mara) hadi pete ya harusi. hahahahahahha. Lakini cha ajabu hawakuchukua bastola yake. hahahahahahahahahahha
Hii Kali. Sijawahi Sikia.
 
Na mie nimempa kama tahadhari, ili awe makini na "wadada" watakao mkarimu. hahahahah
Ha Ha Ha. Kumbe Wadada Wakarimu Ndo Mafia. Nimemkumbuka Samson Na Delilah.
 
Morogoro ni kubwa, na kila mji unajitegemea, kuna ifakara, kilosa, kilombelo, kwakua wewe ume address mkoani morogoro, yakupasa pia kueleza unalenga kwenda kupumzika wapi?
Namaanisha Morogoro mjini!
 
Back
Top Bottom