hip hop uchwara
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 5,987
- 3,817
.
Hao ndege wanapenda sana usalama kitu Cha pili wanapenda sehemu yenye chanzo Cha maji natural hata kama kukiwa na bwawa natural mahali ulipo au karibu na pia mazingira yasadifu Hali hiyo.Huu mti wa mgunga naweza kuupataje?.... nimeulizia kwa hawa wauza maua hawana..... nipe contact ntaulipia niletewe mche.
sijalelewa hapa "Ndege hawataki sehemu zenye mkubwa na binadamu."
Mkuu Bado wapo?UPDATE:
Amazingly leo asubuhi nieamka nikisikia ndege wengi sana wakilia nje ya kibaraza cha nyumba yangu. Nikaona nitoke nje niangalie kuna nini. Amazingly nimekuta kuna swarm of these weaver birds wanajenga viota vyao kwenye mti mbele ya kibaraza changu.
Nimefurahi na kustaajabu sana kwani nilianzisha hii thead out of curiosity, na sijafanya chochote hapa nyumbani cha kusema kuwaattract hawa ndege ila leo wamenisupprise wanajenga viota na wapo wengi sana. wamechagua huu mti wangu.
View attachment 3017518
View attachment 3017526
View attachment 3017553