robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,142
- 3,338
ikitangazwa kuuzwa mnistue.
Una interest nayo mkuu?ikitangazwa kuuzwa mnistue.
Katika kipindi changu nataka nizalishe mabilionea 100Hatimaye Hoteli ya Kitalii ya Snowcrest,iliyopo eneo la Ngulelo jijini Arusha, imefilisiwa rasimi mara baada ya kushindwa kujiendesha kutokana na madeni mbalimbali makubwa inayodaiwa na taasisi za kifedha ,watu binafsi yanayofikia kiasi cha sh, bilioni 14.
Hotel hiyo ambayo iliwahi kuzinduliwa kwa mbwembwe na Rais wa Awamu ya NNE Rais Jakaya Kikwete ,inamilikiwa na mfanyabiashara William Mollel ambaye aliinunua kutoka kwa mfanyabiashara aliyetambulika kw a jina la Tarimo.
Majira ya Alfajiri kampuni ya udalali iliyopewa mamlaka na Mahakama chini ya usimamizi wa askari Polisi wenye silaha , imekomba kila kitu katika hotel hiyo yakiwemo magodoro,Pazia, zamani mbalimbali, Viti,TV,Vyombo,vitanda, Kompyuta,Shuka ,Taulo nakadhalika na kuviacha vyumba zaidi ya 100 vyeupe.
Kwa mujibu wa kampuni hiyo ya udalali vitu vyote vilivyotolewa vikiuzwa uwezekano wa kufidia madeni hayo bado ni mdogo na hivyo hatua ya kuiomba Mahakama kuuza jengo zima inaweza kufikiwa muda wowote.
View attachment 1133646View attachment 1133647View attachment 1133648
Hatimaye Hoteli ya Kitalii ya Snowcrest,iliyopo eneo la Ngulelo jijini Arusha, imefilisiwa rasimi mara baada ya kushindwa kujiendesha kutokana na madeni mbalimbali makubwa inayodaiwa na taasisi za kifedha ,watu binafsi yanayofikia kiasi cha sh, bilioni 14.
Hotel hiyo ambayo iliwahi kuzinduliwa kwa mbwembwe na Rais wa Awamu ya NNE Rais Jakaya Kikwete ,inamilikiwa na mfanyabiashara William Mollel ambaye aliinunua kutoka kwa mfanyabiashara aliyetambulika kw a jina la Tarimo.
Majira ya Alfajiri kampuni ya udalali iliyopewa mamlaka na Mahakama chini ya usimamizi wa askari Polisi wenye silaha , imekomba kila kitu katika hotel hiyo yakiwemo magodoro,Pazia, zamani mbalimbali, Viti,TV,Vyombo,vitanda, Kompyuta,Shuka ,Taulo nakadhalika na kuviacha vyumba zaidi ya 100 vyeupe.
Kwa mujibu wa kampuni hiyo ya udalali vitu vyote vilivyotolewa vikiuzwa uwezekano wa kufidia madeni hayo bado ni mdogo na hivyo hatua ya kuiomba Mahakama kuuza jengo zima inaweza kufikiwa muda wowote.
View attachment 1133646View attachment 1133647View attachment 1133648
Bora angekuwa DC ameamuru ilibomolewe..amri ya kubomoa fence ilikuwa ya meneja wa Tanroad wa Arusha enzi hizo bw. Kakonko ambaye ni meneja wa mamlaka ya bandari kwa sasa. Mshikaji sana wa jiwe toka enzi hizo.Nimeshapigaga kibarua hapo ilipokuwa inajengwa. Ila sikupendezwa kabisa na dizaini ya madirisha yake. Nakumbuka JK aliizindua lakini baada ya siku moja ilibomolewa kwa mbele kwa amri ya DC
Tutamkumbuka Magufuli kwa ufedhuli wake
Hoteli hii ilijengwa barabarani na waziri wa ujenzi kipindi hiko ambaye ni Rais kwa sasa alitaka kuivunja ila Mamlaka kutoka juu zikazuia ...miaka kadhaa baadae barabara husika ikapanuliwa na kuiacha hoteli hii bila parking...acha ifilisike tu maana ilikiuka taratibuHatimaye Hoteli ya Kitalii ya Snowcrest,iliyopo eneo la Ngulelo jijini Arusha, imefilisiwa rasimi mara baada ya kushindwa kujiendesha kutokana na madeni mbalimbali makubwa inayodaiwa na taasisi za kifedha ,watu binafsi yanayofikia kiasi cha sh, bilioni 14.
Hotel hiyo ambayo iliwahi kuzinduliwa kwa mbwembwe na Rais wa Awamu ya NNE Rais Jakaya Kikwete ,inamilikiwa na mfanyabiashara William Mollel ambaye aliinunua kutoka kwa mfanyabiashara aliyetambulika kw a jina la Tarimo.
Majira ya Alfajiri kampuni ya udalali iliyopewa mamlaka na Mahakama chini ya usimamizi wa askari Polisi wenye silaha , imekomba kila kitu katika hotel hiyo yakiwemo magodoro,Pazia, zamani mbalimbali, Viti,TV,Vyombo,vitanda, Kompyuta,Shuka ,Taulo nakadhalika na kuviacha vyumba zaidi ya 100 vyeupe.
Kwa mujibu wa kampuni hiyo ya udalali vitu vyote vilivyotolewa vikiuzwa uwezekano wa kufidia madeni hayo bado ni mdogo na hivyo hatua ya kuiomba Mahakama kuuza jengo zima inaweza kufikiwa muda wowote.
View attachment 1133646View attachment 1133647View attachment 1133648
Walioelewa wewe sio miongoni mwao.Ashindwe mollel kulipa madini halafu magufuli awe fedhuli
Wanipe hiyo hotel niindesheHatimaye Hoteli ya Kitalii ya Snowcrest,iliyopo eneo la Ngulelo jijini Arusha, imefilisiwa rasimi mara baada ya kushindwa kujiendesha kutokana na madeni mbalimbali makubwa inayodaiwa na taasisi za kifedha ,watu binafsi yanayofikia kiasi cha sh, bilioni 14.
Hotel hiyo ambayo iliwahi kuzinduliwa kwa mbwembwe na Rais wa Awamu ya NNE Rais Jakaya Kikwete ,inamilikiwa na mfanyabiashara William Mollel ambaye aliinunua kutoka kwa mfanyabiashara aliyetambulika kw a jina la Tarimo.
Majira ya Alfajiri kampuni ya udalali iliyopewa mamlaka na Mahakama chini ya usimamizi wa askari Polisi wenye silaha , imekomba kila kitu katika hotel hiyo yakiwemo magodoro,Pazia, zamani mbalimbali, Viti,TV,Vyombo,vitanda, Kompyuta,Shuka ,Taulo nakadhalika na kuviacha vyumba zaidi ya 100 vyeupe.
Kwa mujibu wa kampuni hiyo ya udalali vitu vyote vilivyotolewa vikiuzwa uwezekano wa kufidia madeni hayo bado ni mdogo na hivyo hatua ya kuiomba Mahakama kuuza jengo zima inaweza kufikiwa muda wowote.
View attachment 1133646View attachment 1133647View attachment 1133648
Kazi ipo!Ashindwe mollel kulipa madini halafu magufuli awe fedhuli