Nenda Monjes Kaloleni
Mzee Tupatupa
Kwa kuanzia...kaangalie Mick Rest House. Ipo karibu stendi ya Dar Express na pia karibu na msikiti Masjid Kuba. Bei 25000 na 30000.
ukifika standArusha ulizia Joshmali hotel au AM hotel au Aqwilini hotel,,, zote hizo ni hotel za bei rahisi na haziko mbali na maeneo ya stand hivo huitaji usafiri wa kufika kwenye hizo hotel, Watu Arusha ni waungwana watakuelekeza vizuri tu.
Soma kwanguvu wewe - Ameshasema 50000!Hujasema bei mkuu wangu
Soma kwanguvu wewe - Ameshasema 50000!
Humtakii mema huyu jamaa - Hapo Monjes ni karibu na ile sehemu wanaokaa wale wajasiriamali kina dada poa!Nenda Monjes Kaloleni
Mzee Tupatupa
Kwa kuanzia...kaangalie Mick Rest House. Ipo karibu stendi ya Dar Express na pia karibu na msikiti Masjid Kuba. Bei 25000 na 30000.
ukifika standArusha ulizia Joshmali hotel au AM hotel au Aqwilini hotel,,, zote hizo ni hotel za bei rahisi na haziko mbali na maeneo ya stand hivo huitaji usafiri wa kufika kwenye hizo hotel, Watu Arusha ni waungwana watakuelekeza vizuri tu.
yeeah hii Mick rest inaweza kunifaa hiii wanatoa na rist mkuu??
Kama sio Mujahidin simshauri alale karibu na hapo maana jamaa saa9 alfajiri wanaanza kutoa vitisho km huendi kusali....chumba ulicholala ndio kaburi lako...shuka ulilojifunika ndio sanda yako...!