Wadau kuna mshkaji wangu anataka kumu engage mchumba wake ijumaa . Nataka hotel au restaurant ama sehem nzuri hapa dsm .
Mwenye kuweza kunisaidia ningefurahi.
10pax only. Asanteni

Au ndo kitete cha engagement upo siyo.kawaida yako Saint Ivuga
Dar kubwa sana (kwa maana ya upatikanaji wa mahitaji lako) hebu jaribu ku specify hata eneo, price na mandhari kwa maana ya content ya hiyo hotel/Restraunt ie. Swimming pool, bembea etc...