isajorsergio
Platinum Member
- Apr 22, 2018
- 4,143
- 6,562
Haha Hahaha 😁😁 Sio mbaya ujue vyuma baba.Mkuu wa Geog umeamua kujiripua ukawe receptionist sio???Kama ni hivyo hakika utakuwa umeifanyia dhulmaa taaluma yako.
Haha Hahaha 😁😁 Sio mbaya ujue vyuma baba.Mkuu wa Geog umeamua kujiripua ukawe receptionist sio???Kama ni hivyo hakika utakuwa umeifanyia dhulmaa taaluma yako.

Naomba kutuma cv
[/QUO
Mkuu umewahi kusikia mstari ulio kufa yaaani daed line hopefully Watu wapo zenji wanapiga kazi hiyo
Umechelewa
Upunguze ku chit chat mkuuu mambo mazuri yasikupite mkuuuHili tangazo limenipita wapi mimi........
Upunguze ku chit chat mkuuu mambo mazuri yasikupite mkuuu
Mcheki mtoa tangazo anaweza kukusaidia pia