Hotel rceptionist anahitajika

Hotel rceptionist anahitajika

Mkuu, nina story ndefu sana na funzo kubwa kuhusu hizi ID, kwenye uajiri knowledge yako tu is not all that we are looking for! We also want to know who you are as a person, and these IDs tell a lot.

By the way, I said priorities tu na haimaanishi kwamba huna basic requirements halafu tukupe nafasi only because ID yako ni ya zamani.
Unaangaliaje personality ya mtu kwa hapa kwa kuangalia id ya zamani na ya sasa..hio personality hamuwez kuiona huko wakati wa interview ukiuliza maswali ..mtu amejiunga leo au jana purposely kwa ajili ya kutafuta kazi na leo amekuta tangazo la kazi na ana vigezo lakin unamwambia njoo na id yako ya zamani.. what's this!!
 
Ndugu zangu, deadline ya kutuma maombi imepita.

We will work into the applications we have received and contact those who have applied accordingly.

Ahsanteni kwa ushirikiano wenu
 
Ndugu zangu, deadline ya kutuma maombi imepita.

We will work into the applications we have received and contact those who have applied accordingly.

Ahsanteni kwa ushirikiano wenu
Dah Mirzska! Siku haijaisha mkuu... Aaah come on dah siku inaisha saa sita usiku?! Au UN wameweka mfumo mpya?

Aiseee dah! 😔
 
Dah Mirzska! Siku haijaisha mkuu... Aaah come on dah siku inaisha saa sita usiku?! Au UN wameweka mfumo mpya?

Aiseee dah! 😔
Mkuu me nlidhani siku ya kazi inaisha saa tisa na nusu mchana, I didn't know siku ya kazi inakwisha saa sita usiku😀😀
 
Mkuu me nlidhani siku ya kazi inaisha saa tisa na nusu mchana, I didn't know siku ya kazi inakwisha saa sita usiku😀😀
Ukisema mwisho wa kutuma maombi ni siku flani maana yake huwa ni saa sita usiku iyo siku....kama unataka ku limit muda ndani ya hiyo siku lazima u specify muda kabisa mfano : mwisho wa kupokea maombi ni leo saa 12:30,or saa 16:30...but ukisema tu mwisho wa kupokea maombi ni leo maana yake ni saa sita usiku
 
Mkuu naona umeweka limit ya watu kuview profile yako....nimeshindwa kuku-Pm
 
Just for the update:

We received 21 applications, as per our screening and recruitment policies, we only have 5 candidates whom we will call for interview.

Thanks all for participating!

Best regards,
Relief Mirzska
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom