Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Wadau,
Kwa ambae anahisi ana-qualify kuwa receptionist kwenye hotel iliyoko Zanzibar na mkaribisha PM.
Awe na uwezo wa kuzungumza kingereza kiufasaha, na awe na at least basic knowledge of computer.
Ukijua lugha mbili za kigeni ni added advantage.
Maendeleo hayana chama