HOTEL LOCKING SYSTEM INSTALLERS IN DAR ES SALAAM AND MWANZA(SMART LOCK HOTEL)-0746373222.

HOTEL LOCKING SYSTEM INSTALLERS IN DAR ES SALAAM AND MWANZA(SMART LOCK HOTEL)-0746373222.

Joined
Apr 29, 2016
Posts
73
Reaction score
79
HLS ( HOTEL LOCKING SYSTEM).
Hii ni system inayotumika katika vyumba vya hoteli na lodge.
Ni maalum kwa ajili ya milango inayofunguka Kwa kadi.
System hii inakupa option ya ku-create kadi ya kufungua Mlango iweze kutumika ktk muda ambao mteja amelipia chumba, mfano mteja kalipia chumba siku mbili basi kadi hiyo itafanya Kwa siku hizo mbili na baada ya hapo itastop mpaka mteja alipie upya na Kisha kadi iongezewe muda wa matumizi.
Kwa mahitaji ya vitasa Kwa ajili ya hoteli au lodge ambavyo vinaongozwa na kompyuta ya mhudumu wa hoteli(Hotel locking system)..usisite kuwasiliana nasi popote ulipo.
Pia tuna vitasa vya smart lock Kwa ajili ya nyumba binafsi,maofisini,apartment nk....
Tuna vitasa vya smart lock Kwa Milango ya aina mbalimbali,km vile milango ya mbao,milango,vioo au alminium na milango ya chuma(mageti).
Tupo Dar es salaam na Mwanza na mikoani tuna hudumia pia...

Call/Whatsapp 0746373222
TikTok; GORDON TECHNOLOGY
YouTube; GORDON TECHNOLOGY
Instagram; gordon_technology
Facebook; Gordon Technology
 

Attachments

  • IMG-20250305-WA0092.jpg
    IMG-20250305-WA0092.jpg
    235.9 KB · Views: 18
  • IMG-20250304-WA0001.jpg
    IMG-20250304-WA0001.jpg
    111.5 KB · Views: 22
  • IMG-20250221-WA0011.jpg
    IMG-20250221-WA0011.jpg
    30.4 KB · Views: 21
  • IMG-20250322-WA0076.jpg
    IMG-20250322-WA0076.jpg
    92 KB · Views: 17
  • IMG-20250322-WA0074.jpg
    IMG-20250322-WA0074.jpg
    15.7 KB · Views: 18
  • IMG-20250211-WA0022.jpg
    IMG-20250211-WA0022.jpg
    460.5 KB · Views: 18
  • IMG-20250214-WA0064.jpg
    IMG-20250214-WA0064.jpg
    11.5 KB · Views: 21
  • IMG_20250107_112117_268.jpg
    IMG_20250107_112117_268.jpg
    464 KB · Views: 23

Similar Discussions

Back
Top Bottom