Hot topic

Said Cosmetics

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
2,001
1,586
*_Mahusiano mengine hutokea mbali sana hasa Wale mlioenda field mkaacha namba zenu_*

Mfano Mwalimu na mwanafunzi

*Mwezi January*
Joyce : Shikamo Mwalimu
Mwalimu :Marahaba hujambo Joyce
Joyce: Sijambo Mwalimu
Mwalimu :Habari za masomo Joyce
Joyce: Nzuri tu, nilikuwa nakusalimia tu

*Mwezi February*
Joyce: Shikamo
Mwalimu: Shikamoo nani?
Joyce : Si wewe....
Mwalimu : Mimi nani?
Joyce : Linton
Mwalimu : Mmmh haya bwana
Joyce: Au hupendi kuitwa hivyo?
Mwalimu : usiwaze, Niambie
Joyce: Poa nimekumiss, utakuja lini tena
Mwalimu: Muda si mrefu
Joyce: Haya poa baba

*Mwezi March*
Joyce: Mambo
Mwalimu : poa vipi?
Joyce : Fresh tu my
Mwalimu : Za huko niaje?
Joyce: Safi tu, una Dakika unipigie?
Mwalimu: ndiyo ninazo....(anakopa)
......................
Joyce : Ahsante kwa kunipigia
Mwalimu: Usiwaze tupo pamoja

*Mwezi April*
Joyce : My........
Mwalimu : Niambie
Joyce : Miss you so so....
Mwalimu: me too
Joyce : ukija utaniletea zawadi gani ukija
Mwalimu : Wewe unataka zawadi ......... (hapo Mwalimu haulizi habari za masomo tena wala mwanafunzi hamsalimii Mwalimu)
Joyce: Yeyote Nzuri ambayo unaipenda
Mwalimu : Nitakufanyia surprise utapenda tu
Mwalimu : nikupigie. ....?
Joyce: Waoo nipigie nisikie sauti yako

*Mwezi May*
Mwalimu: Toto
Joyce: Yes toto
Mwalimu : I miss you
Joyce : Me more tena nilitaka nikutext hapa
Mwalimu : OK unafanyaje
Joyce : Nipo kitandani nimejilaza
.(Mwalimu mshipa unapanda ghafula)

Mwalimu : Umelalaje
Joyce : chali
Mwalimu : Hakuna baridi ee
Joyce : mmmh yaani hatari hadi kero
Mwalimu : (anafikiria miaka 30 anjizuia )
Mwalimu : Haya bwana Pole
Joyce : njoo tupumzike, tupige story
Mwalimu : Haya bwana nakuja
Joyce : Wahi my
Mwalimu: My what....?
Joyce : Jiongeze mwenyewe
Mwalimu : Haya bwana

*Mwezi June*
Joyce : Jamani Mbona hunitafuti hadi nikuanze jamani au hupendi my
Mwalimu : Hapana najua uko class
Joyce : sipendi ujue Kwani Mimi wa kusoma kila muda
(akiwa na wanafunzi wenzake mpenzi wangu mwanachuo, Linton)
Mwalimu : nisamehe dear
Joyce : Usiwaze nimekusamehe my wangu
Mwalimu : Unajua nini mwezi wa Saba nakuja so tutaonana Kweli?
Joyce : Muda wowote nitafurahije, ila usisahau zawadi yangu
(akili inagonga si huna boom umebakiwa na nauli tu)
Mwalimu : Haya usijali tutakutana wapi?
Joyce : Popote unapotaka nitakuja
Mwalimu: Nitafurahi kukuona mrembo wangu
Joyce : Mi zaidi yako my handsome (eti Linton naye handsome dah! )
Mwalimu : OK poa poa
Joyce : gnty dear

*Mwezi July*
Mwalimu : mambo
Joyce :waooh my safi
Mwalimu : Uko wapi
Joyce : Nipo home
Mwalimu: Nishafika home saa ngapi tuonane
Joyce : Kweli? Acha utani basi
Mwalimu: Kweli .
Joyce: Nipigie basi
Mwalimu : Anapiga
Joyce : Saa Saba tuonane
Mwalimu : Wapi sasa
Joyce : weee ndo uniambie
Mwalimu: (Anaanza techniques) unaonaje uje tukae hapa lodge tupige story Busmabu lodge and Bar
Joyce : Mmmh mimi naogopa watu my
Mwalimu : Usiwaze utaingilia mlango wa Nyumba.
Joyce : (joyce ashajua maana ya Lodge) haya ngoja nijaribu Kama nitaweza lakini si ungetafuta Sehemu nyingine
Mwalimu : Njoo basi hapa nishalipia chumba tuko na Rafiki yangu

*Saa Saba*
Joyce : Niambie uko wapi
Mwalimu Nipo nakusubiri
(zawadi anaandaliwa saa gharama 12000 na nguo za ndani
Joyce: Nipo kwa nyuma njoo
Mwalimu : anamtia machoni Joyce alivyo mtoto na konzi kifuani sura ya kischana akill inacheza rege anasahau kuwa unacheza na 30 years jela)
Mwalimu : huyo hadi chumba 9 mnakaa mnatazamana, mnachezeana, mnasisimuana mnaamua kuanza mapambano
Kwanzaa baadaye unakumbuka biblia
*ikimbieni zinaa* hapo hapo unakumbuka ukimtia mimba mwanafunzi utapata taabu sana
unaamua kumuuliza Mara ya mwisho MP ni lini
anakwambia mwezi uliopita
Unajiombea ufe maana wanasema jela ukienda mroho mroho unaolewa
Unampatia zawadi hapo akili zimekurudia kisawa sawa
hapo ego ameanza kumthibiti Id Na superego

Hii ndo huitwa Mahusiano ya bila kutongozana

Jamani kwa mliopo vyuoni mnaporudi home kumbuken 30 years is real
HIV is real
Mshauri mwanafunzi asome na siyo umsomee

Note:
kumpenda mwanafunzi ni jambo zuri Sana, ila itakuwa vizuri ukimpenda mkiwa darasani wakati wa kipindi
 
Lmaooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom