Hot mix EATV mh Aden Rage yupo live

Hot mix EATV mh Aden Rage yupo live

elimuplatform

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,054
Reaction score
462
najiulizaga huyu jamaa anaiwakilisha simba au tbr bungeni.kati ya siasa na mpira(simba)anapenda nini?ebu nisaidie
 
Mi nadhan anapenda vyote.infact sijaona km kuna sehemu analegalega!he is very committed to both posts!
 
Mi nadhan anapenda vyote.infact sijaona km kuna sehemu analegalega!he is very committed to both posts!

Nahisi anakitumikia chama zaid kuliko club, ndo maana anadiriki kupiga uzi wa njano na kijani na pia kubeba pistol tayari kukitetea chama.
 
Mi kwa upande wangu hakuna anachokifanya kwa ufanisi kati ya Simba na ubunge wa Tabora maana vyote viliwili vipo hai bin taabani
 
Back
Top Bottom