Hot Members Only! Amekosa u-DC lazima atapewa u-RC

Hot Members Only! Amekosa u-DC lazima atapewa u-RC

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Huyu lazima atakuwa amewekwa kiporo kuwa mkuu wa mkoa tu!
1424522080797.jpg
 
Mkulu angekuwa hajajitoa tweeter ilikuwa kazi rahisi, tungemtweet hii mambo angeitupa nanyumbuuuuu
 
Mkulu angekuwa hajajitoa tweeter ilikuwa kazi rahisi, tungemtweet hii mambo angeitupa nanyumbuuuuu

Ha ha ha! Sure mkuu! Hata humu huwa anapita kupitia wapambe wake wa Members Only watamlengesha tu!
 
Tusidharau taasisi kiasi hicho jamani...
 
Wakuu acheni wazee wapumzike, wamechoka, washatumikia taifa miaka mingi!! Acha wajilie vyao
 
Back
Top Bottom