Hospitali za Serikali mna nini?

[emoji1787][emoji1787] eti anawekwa kiongozi ambaye hajui kitu chochote kuhusiana na vitu anavyovisimamia akiona mabango yeye ndo furaha kumbe madakitari vitendo ni zero ,,,yeye kazi yake ni kusoma takwimu ambazo ameandikiwa na madokta uchwara kama akina client ambazo zina uongo mwingi ili waonekane wanafanya kazi
 
Ni ya kwanza kuskia kwako
Ndomana nimesema huna unalolijua,,,huenda nabishana na mtu ambaye hata mass spectrometer hajawahi kuitumia,,, ivi wewe unafikiri kila mdudu analeta madhara hadi akiwa amefikia hatua ya mwisho ya ukuaji? Rud shule muache kukalili
 
We ni wa kuonewa huruma, hiki ulichoandika unakielewa??
Andika hoja mkuu hizi lugha chafu za madakitar ni za kipumbavu mnatumia hasira kwamba mgonjwa anakosea kumbe mnajificha msionekane mmeshindwa kutambua kinachomsumbua ,,,siku iz kuwen makin watu wengi wanauelewa huko hospitalini wanafyata kuthibitisha tu kile wanachokihis na usidhani walioajiriwa hospitalin ndo hao waliosomea hayo mambo wapo wengi huku mtaani,,,[emoji23][emoji23][emoji23]hospitali ya wilaya mpaka leo sielewi aliachiwa kiti kwa muda yule mtu au ndo yeye anahudumu pale ni dakitari anaulizwa umewahi sikia kitu kinaitwa GERD anasema sijawah na anakaza hiko kitu hakipo unamfafanulia kwa urefu na mapana lakini badooo. Nikasema hawa ndo madakitari wetu aiseee nilichoka sana
 
Kiufupi we ni mjinga wa kuonewa huruma, ujuaji mwingine ni kujiaibisha, punguza ujuaji kwa vitu ambavyo huna utaalamu navyo,la sivyo unajishushia hadhi.
We jamaa mbona lugha zako hizi ni za madakitar uchwara sana,,,ila kama wewe ni dakitar hata mlungula utakuwa unaupenda sana,,,bishana kwa hoja tujue unajua unachokiongea ila kwa ujibuji huu wewe ndo unaonekana mjinga sasa
 
Acha tu mkuu,,,hawa ndo viongozi wetu mkaguzi anayetumwa kukagua haelewi ili mtu awe fit anahitaji pawepo nini akiona wameweka tu modals na mabango makubwa hapo chuoni yanayohusu afya na kuelezewa kwa kutumia materm asiyoyajua ya kiafya anakubali kwa. Sababu ni mjinga kwenye eneo hilo na anakubal huku wamemlipua na cha mfukoni
 
Duhh
 

Shida wandhani wagonjwa wote ni layman,niliwahi kwenda hospital tena mhimbili,daktari akawa ameniandikia dawa za kutumia,hizo dawa nilwahi soma article kadhaa kuhusu madhara yake kwa long exposure ya hiyo dawa,nikamletea hizo published articles akabaki anaduwaa tu.

Madaktari wabadilike watambue wagonjwa nao ni wasomi hata kuzidi wao.
 
Naona hapo Hospital za Serikali walikuwa sawa unaweza ukawa umepewa dawa kumbe mgonjwa hana hiyo Malaria uliyokua unaitafuta...
Kabisa tatizo wagonjwa wengi wanajifanya wajuaji yaan kaja hospital kutafuta huduma lakin Cha ajabu anataka kumfundisha kazi mtoa huduma mtu umepimwa huna malaria unataka uambiwe unayo ili iweje? sasa kama ww ulijijua uhakika kabisa una malaria huko hospital ulienda kufuata nini? SI ungeenda zako pharmacy ununue dawa? Watu msichokijua ni kwamba uko private hospitals upigaji ni mwingi sana unaweza Kuta mgonjwa hayuko serious kiviiile labda ana infection ya kawaida tu ya UTI anaenda hospital ya serikali wanampa vidonge ambavyo vinafanya kazi fresh tu anajifanya mjuaji anavikataa Kisha anaenda hospital ya private huko anafukumuliwa sindano 10 za ceftriaxone anaona yeesss hii ndio tiba sasa kumbe mtu kaua mende kwa nyundo.
 
Hospitali zipo kwa ajili ya kutengeneza pesa zaidi, kwa hiyo ni kawaida kupewa majibu yasiyo sahihi maana wao kwao ina faida zaidi.
 
Shida iliopo ni kuwa,hospitali za serikali karibu zote hawapimi malaria kwa kutumia rapid test,wana kipimo chao ambacho mara nyingi ukipima utaambiwa huna malaria,kuna kiwango ambacho hiyo malaria ikifika ndio kinaweza kusoma...
 
Huu ukweli hawataki kuuelewa,,, tena wewe mgonjwa umbaye ndo mwili wako unajijua unakuumaje ukitaka mshauliane naye ili mfike conclusion nini kifanyike utasikia na wewe ni dakitari as if wanajua sana kumbe mnaeuelewa sawa tena wengine unawazidi kinachowatofautisha ni cheti tu na mazingira ya kazi ,,,baadhi wako vizuri ila wengi ovyo sana
 
Umeongea ukweli hapa tupo pa1,,,naomba kuulize swali hivi kwanini madakitari mtu anaumwa amepimwa wanakuta negative alaf wanaishia hapohapo hata kwamba waseme tupime kipimo kingine hamna wanakuandikia dozi tu ambayo wanajisikia wao
 
Umeongea ukweli hapa tupo pa1,,,naomba kuulize swali hivi kwanini madakitari mtu anaumwa amepimwa wanakuta negative alaf wanaishia hapohapo hata kwamba waseme tupime kipimo kingine hamna wanakuandikia dozi tu ambayo wanajisikia wao
Mfano wa kipimo Gani hicho ambacho mwanzo kimesoma negative?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…