Be fair and truth malalamiko ya waislamu na ndalichako is about islamic studies ambao hata hivyo haya akaunt kwenye nyanja za kimaisha mfano ajira nakadhalika so hiyo haiwezi kuwa ni sababu ya msingi.Then waziri kawambwa naye Jk naye na Shein wote hawa wanakandamiza tu waislamu?So unataka kusema wale waliosoma na kuwa mpaka maprofesa hawakuchinjwa ilitokea nini?Emu tujadili mifumo yetu ya malezi na vipaumbele vya kimaisha je ni kweli mfumo wa malezi na mafundisho ya kiislamu yanamjenga muislamu kuwa mtu mwenye uwezo kielimu bila kuhitaji msaada?Je ni kweli kwamba elimu hii inathaminiwa na waumini wa kiislamu kama elimu ya dini?Maana nachoweza kuona ni kwamba ukristo ni sehemu ya maisha ya mkristo ila uislamu ni kila kitu kwa muislamu yaani uislamu kwanza mengine baadaye hivyo nategemea katika nyanja za elimu dunia muislamu hata acha kulalamika maana hata mkristo ingetokea nchi inaajiri kwa kigezo cha dini au uislamu bila shaka hapo ingeleta maana kwa waislamu maana inahitaji dini kwanza elimu dunia baadaye ila kwa huu mfumo uliopo inakuwa ngumu sana ndugu yangu kupata usawa kati ya wakristo na waislamu.Jadili Mkuumkuu!
mfumo kristo umepitisha MOU wakati kwa waislam OIC inakataliwa, katika issue ya elimu tutapata vp elimu wakati NDALICHAKO katumwa na kanisa kuchinja waislam.
lete hoja usikurupuke.
narudia tena kwa style hii migogoro hii ya kidini haitaisha.
cjaelewa ni hospital za kidin kwa maana ya din zote au hospital za (mishen) din moja tu
Mkuu weka sawa kumbukumbu zako Umesahau James Mbatia alivyowajia juu Agha Khan pamoja na tax relief bado gharama zao ziko juu which implies iyo relief haina maana kwa MtanzaniaHapo ni hospitali za kikristo tu. Aga Ghan haipewi bado inatoa huduma nzuri tu.
Gharama katika hizo hospitali zinazopewa ruzuku ni kubwa mno. Nilifanyiwa operation ya tumbo kwa tsh laki tano na thelathini nilikaa wiki moja hospitali Gharama kwa ujumla ikawa milioni 1 na laki 2 na elfu 49 .
Mzee wangu alifanyiwa operation kama yangu Amana Hospital yeye alikaa wiki 2 akalipa laki 3 na elfu 26 hapa ndio nikaona kodi zetu watanzania zimekuwa mtaji wa baadhi ya watu
Wanaukumbi.
Serikali hutoa Sh36.7 bilioni kama ruzuku kwa hospital za mashirika ya dini nchini kila mwaka.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dr Seif Rashidi alisema fedha hizo zinatumika katika ulipaji mishahara, dawa, vifaa, vifaa tiba na vitendanishi.
Waziri alisema ruzuku hiyo ni tofauti na inaotolewa na halmashauri za wilaya, zenye hospitali za mashirika ya dini kutoka mfuko mkuu na mishahara ya watumishi walioshindikizwa hospitali hizo, vitu vya afya na zahanati.
Hospital za mashirika ya dini zinazopata ruzuku zipo 97.
My Take...
Pamoja na kupata ruzuku mbona hizo hospitali zinafanya biashara na huduma zao zinazidi kuwa mbovu kila siku mfano Hospitali ya Bugando Mwanza na Hospitali ya KCMC Moshi.
SOURCE: MWANANCHI MEI 23, 2013.
Hivi hawa waislamu wamezuiwa kuwa na taasisi zenu za kiislamu ili mpate hiyo ruzuku...mnakalia fujo na ugaidi elimu mmetupilia mbali hakika wivu ni ushetani live..Endeleeni kuifunza karate na kulipua makanisa tutakapo wachoka mtajuta
kwa nini serikali isitumie hizo pesa kujenga hospitali zake wakati wagonjwa kwenye hospitali za serikali wako hoi.
hata panadol hakuna katika hospital za serikali.
kuna nini nyuma ya pazia
kuna nini kinaendelea?
kwa hili serikali ndio chanzo cha migogoro ya kidini.
mkuu!
mfumo kristo umepitisha MOU wakati kwa waislam OIC inakataliwa, katika issue ya elimu tutapata vp elimu wakati NDALICHAKO katumwa na kanisa kuchinja waislam.
lete hoja usikurupuke.
narudia tena kwa style hii migogoro hii ya kidini haitaisha.
hamna cha ruzuku wala nini,
ila ni mfumo kristo tu unaendelea, serikali inapeleka ruzuku halafu hizo hospitali zinazoitwa za kidini(si za kidini ila ni za kikristo)
gharama ziko juu kuliko hata hospitali za watu binafsi.
tukiyasema haya mtaita uchochezi, eti halafu mnakaa vikao na mamluki bakwata mnataka mitafaruku ya kidini yaishe.
hayataisha hata mfanyeje!
je hizo ruzuku CAG anakwenda kukagua?
kama laa nini kinaendelea kwa pesa za walipa kodi.
Swaddakta. Ukweli utazidi kujiweka wazi pale waislamu wanapolalamikia Mfumo Kristo kuiendesha serikali kwa kodi za wote kuwanufaisha wachacheKichekesho Serikali inachota kodi za Wananchi na kuzipa Hospitali za kile kinachoitwa Hospitali za kidini! kwanini fedha hizo wasiboreshe hospitali za Serikali kama Muhimbili? kuna ulazima gani wa kuchota fedha za Walipakodi na kuwapa Misheni huku wao hawatoi huduma bure? Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba?
Lile jengo waislam hawakupewa bure,wanalipwa.Si mlipewa bure yale majengo Morogoro? Au umetaka kidole sasa mwaomba mkono wote?
Duu wakristo wanaifaidi nchi,waislam hakuna hata kidispensary!waislam wanapoungana kuing'oa bakwata ni sababu kama hizi
furahia hali hiyo ila ujue ni bomu lililotegeshwa wakati wowote litalipuka,na halitachagua nani ni nani!huko ni kuongeza marginalized extremistsSerikali ipo kwenye mchakato wa kutoa ruzuku kwa waganga wa kienyeji wanaouza miti shamba nje ya misikiti
Duu wakristo wanaifaidi nchi,waislam hakuna hata kidispensary!waislam wanapoungana kuing'oa bakwata ni sababu kama hizi
Nilijua tu lazima Ritz uje kwenye huu uzi.
Upo salama ndugu yangu?
Hivi kwanini huyu naibu waziri hajazitaja hospitali zenyewe? Au anataka kuwaaminisha watu kuwa (kama alivyokuaminisha wewe) kuwa ni hospitali za "mfumo" pekee?
Kuepuka gharama hizo ni serikali kujenga hospitali zake na kwa wale wanaosema ni upendeleo kwa dini moja wajenge zao.
Hivi hawa waislamu wamezuiwa kuwa na taasisi zenu za kiislamu ili mpate hiyo ruzuku...mnakalia fujo na ugaidi elimu mmetupilia mbali hakika wivu ni ushetani live..Endeleeni kuifunza karate na kulipua makanisa tutakapo wachoka mtajuta