Hospitali ya Wilaya ya Kyela mkoani Mbeya inaungua moto

Bwana yule MURA atasema intelijensia imegundua ni chadema imejichomea ikidhani ni ofisi zake!
 
Mkuuu sidhani kama wilaya ya Kyela ina Gari ya zimamoto. Wilaya ya Jirani Rungwe ndipo kuna zimamoto napo ni umbali wa Km 40+

Na hiyo zimamoto Rungwe imepewa juzi juzi kutoka Mkoani baada ya kuchoka sana.

hihi ndio CCM na mwakyembe wao.
 
Mkuuu sidhani kama wilaya ya Kyela ina Gari ya zimamoto. Wilaya ya Jirani Rungwe ndipo kuna zimamoto napo ni umbali wa Km 40+

Na hiyo zimamoto Rungwe imepewa juzi juzi kutoka Mkoani baada ya kuchoka sana.

hihi ndio CCM na mwakyembe wao.
Hakuna gari la kuzima moto , hiyo ndio laana ya ccm kyela
 
TCRA wamesema ukitaka kurusha matangazo mubashara ambayo ni dharura unaandika email unangoja majibu
Hao ndo TCRA!
 
Hahaha acheni iungue tu duh! Hospitali gani iko hivyo, nilidhani ghala la mpunga.
 
Kyela, Mbeya
Tanzania

Daktari Mfawidhi, Polisi na Kikosi cha Zimamoto waongea

Moto ulikuwa mkubwa, magari ya zimamoto yalibidi yatoke wilayani Rungwe na Mbeya mjini umbali wa kilometa 120 kufika Kyela kuzima moto.
 
Gari la zimamoto litoke Mbeya! Kyela na Tukuyu hawana tujiulize Mwakyembe miaka yote amefanya nini? LET HIM GO.
Liccm lao linafanya nini miaka yote? Badala ya kununua magari ya zimamoto wanawekeza kumuondoa Sugu. Maccm yafutike tu kwenye uso wa nchi hii, nchi iwe ya amani
 
Back
Top Bottom