mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 6,954
- 9,857
Na kitovu Cha utalii Tanzania kipo Buligi Chato.Umesahau Makao Makuu ya CRDB Kanda ya Ziwa yapo Chato
Na kitovu Cha utalii Tanzania kipo Buligi Chato.Umesahau Makao Makuu ya CRDB Kanda ya Ziwa yapo Chato
Kahama - Mwanza = 255kmYaani kwa akili ya kawaida utoke Shinyanga uende Chato badala ya Bugando Mwanza,au utoke Tabora uende Chato badala ya Ndala au Nkinga,utoke Musoma uende Hospital ya CHATO badala ya Bugando.
Hajielewi huyu atakuwa kapakatwaHujitambui.
Huyu jamaa anaonekaHujitambui.
Mkuu, hii Miradi labda kwa huruma za Rais Samia. Mwenda zake Magufuli alisema kwenye mkutano wa hadhara kwamba tusahau sababu kubwa kwamba tulichagua Mbunge wa Upinzani. Kwamba hawezi wapa chakula watoto wa nje wakati wa kwake wanakufa njaaKisingino au Singino mkuu?!!!
nje ya mada kidogo, nasikia halmashauri ya Kilwa inataka kuhamishiwa Nangurukuru kutoka Masoko yalipo makao makuu sasa hivi, hii ni kweli? pia nasikia inataka kujengwa stendi pale ya wilaya hapo nangurukuru? nijuze haya kiongozi nitulie.
Wananchi walitaka miradi ikamilike. Barabara ya Korosho: Kuwezesha Ujenzi wa barabara ya korosho (cashew ring road) – Nangurukuru – Liwale – Nachingwea – Masasi – Newala – Tandahimba – Mtwara – Lindi - Nangurukuru kutoka mapato ya ushuru wa korosho kwa kutumia mfumo wa “development finance” ili kufungua wilaya zinazolima korosho. Lakini kila kitu kimesimamaKisingino au Singino mkuu?!!!
nje ya mada kidogo, nasikia halmashauri ya Kilwa inataka kuhamishiwa Nangurukuru kutoka Masoko yalipo makao makuu sasa hivi, hii ni kweli? pia nasikia inataka kujengwa stendi pale ya wilaya hapo nangurukuru? nijuze haya kiongozi nitulie.
Sasa ushauri wako hapo ni upi?? Afu unasema wamarekani tena??Wananchi walitaka miradi ikamilike. Barabara ya Korosho: Kuwezesha Ujenzi wa barabara ya korosho (cashew ring road) – Nangurukuru – Liwale – Nachingwea – Masasi – Newala – Tandahimba ...
Huyu mleta mada ni mbinafsi sana , hivi ikijengwa Chato au kwingine ndani ya nchi hiii si bado ipo Tanzania? Kuna hospitali ngapi zilizojengwa hapa Tanzania ukaanza kuleta majungu yako hapa . Zunguka nchi nzima kumejengwa Mahospitali na zahanati kibao kila mikoa na wilaya . Au ulipotembea umeishia hapo Chato tu na Bukoba tu?Sema tu ili wakati tunajenga hoja tujue kabisa una interest au hauna interest.
Isijekuwa unafanya attack kwa Mwenda zake kwa sababu unahisi hakuikumbuka Kagera kwenu
inatagemea nanuborq wa hudumq..mbona watu wanatoka.mwanza wanaenda kytibiwa Mgana hospil?Yaani kwa akili ya kawaida utoke Shinyanga uende Chato badala ya Bugando Mwanza,au utoke Tabora uende Chato badala ya Ndala au Nkinga,utoke Musoma uende Hospital ya CHATO badala ya Bugando.
Sawa na kulima Miwa karibu na shule acheni kutudanyaHakika Mungu aliingilia kati ili Nyota njema(Hangaya) aoneshe uwezo wake. Nafasi ndo hii.
Huyo jama hafaiHu
Huyu mleta mada ni mbinafsi sana , hivi ikijengwa Chato au kwingine ndani ya nchi hiii si bado ipo Tanzania? Kuna hospitali ngapi zilizojengwa hapa Tanzania ukaanza kuleta majungu yako hapa . Zunguka nchi nzima kumejengwa Mahospitali na zahanati kibao kila mikoa na wilaya . Au ulipotembea umeishia hapo Chato tu na Bukoba tu?
jamaa ameandika uzi kwa kuweka mbele maslahi yake na ya watu wa kwao huko kagera, anadai watu wa Shinyanga,Mwanza na Geita wana Bugando,haoni Bugando ilikua inahudumia watu wa lake zone yote hivo kuhelemewaHakuna Hoja uliyoileta hapo zaidi ya Ushuzi tu.
KIA ipo mpakani mwa Kilimanjoro and Arusha na Arusha ni mkoa na Kilimanjaro ni Mkoa vina hadhi sawa hakuna makao makuu ya kanda huku. KCMC hii hospitali sio ya Serikali bali ni mali ya KKKT wao woliijenga kilimanjaro kwa sababu zao wenyewe sio Serikali mfano wako hauna mashiko.Isikupe tabu sana mkuu as hata KIA na KMC ya kanda viko Kilimanjaro wakati ofisi zingine ziko Arusha makao makuu ya kanda kask. Hii nchi wako wanaopewa na wako wanaotafuta ..tujiulize tu mie na weye tuko kundi lipi hapo?
Hadhi ndo nini?KIA ipo mpakani mwa Kilimanjoro and Arusha na Arusha ni mkoa na Kilimanjaro ni Mkoa vina hadhi sawa hakuna makao makuu ya kanda huku. KCMC hii hospitali sio ya Serikali bali ni mali ya KKKT wao woliijenga kilimanjaro kwa sababu zao wenyewe sio Serikali mfano wako hauna mashiko.
Wewe ni kabila la Bukoba?!
Karibu Chato upate Sato kwa sana pamoja na KitimotoChato imekufa kifo cha mende
Nalog off
Ni kweli. Tungejenga hospitali zote za rufaa mpakani na Malawi so long as ziwe huu upande wa Ta zania hamna shida.Hu
Huyu mleta mada ni mbinafsi sana , hivi ikijengwa Chato au kwingine ndani ya nchi hiii si bado ipo Tanzania? Kuna hospitali ngapi zilizojengwa hapa Tanzania ukaanza kuleta majungu yako hapa . Zunguka nchi nzima kumejengwa Mahospitali na zahanati kibao kila mikoa na wilaya . Au ulipotembea umeishia hapo Chato tu na Bukoba tu?
Huku ndio naita kukurupuka at best.Nikikuuliza una akili sawa nitakuwa nimekosea!
Hujui kwamba Chato kuna Hospitali ya Wilaya ambayo ipo muda mrefu na hiyo ya Kanda ni Hospitali mpya inajengwa/imejengwa.
Nauliza maswali kama wanayoulizwa watu kwenye kesi inayoendelea ya Mbowe na wenzake.