Hii bajeti iliyojenga Uwanja wa Chato, ilikuwa imetengwa kujenga Uwanja wa Omkajunguti Mkoani Kagera.Vipi chato international airport isha kuwa makazi ya bundi au?
Hakika Mungu aliingilia kati ili Nyota njema(Hangaya) aoneshe uwezo wake. Nafasi ndo hii.Ndiyo maana ilibidi afe. Siyo kwa unyang'au huu!!
Mwacheni Mungu aitwe MunguHii bajeti iliyojenga Uwanja wa Chato, ilikuwa imetengwa kujenga Uwanja wa Omkajunguti Mkoani Kagera.
Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana
Mpango wa omukajunguti ni wa Siku nyingi Je, mnatambua kuwa serikali imeshiriki katika kuudumaza mkoa kagera? Hivi ndivyo mkoa kagera umeachwa yatima na serikali ya Tanzania, Tulivyopata Uhuru kagera ilikuwa miongoni mwa mikoa mitatu yenye uchumi imara, 1. Dar es salaam 2. Kagera 3...www.jamiiforums.com
Umenielewa Vibaya. Nimekuwekea takwimu hapo. Je kwa kutumia kichwa kufikiri bila kutumia Makalio kufikiri, unadhani ni nani alitakiwa kupewa Hospitali ya rufaa kati ya watu laki 3 na watu Milioni 2?Sema tu ili wakati tunajenga hoja tujue kabisa una interest au hauna interest.
Isijekuwa unafanya attack kwa Mwenda zake kwa sababu unahisi hakuikumbuka Kagera kwenu
Nyinyi wahaya mnajifanyaga machinooo! Shauri yenu hospital ishakamirika! Nyie ni wanakanda ya ziwa wenzetu ujuaji mwingi mbele giza! Hata kuujenga mji wa bukoba umewashinda stendi hamana hata VETA Magufuli ndo kajenga kipindi chake nyamazeni Chato sio mbali!Salaam Wakuu,
Jumamosi ya tarehe 11 Sept 2021, nilienda Chato kuangalia Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo iliwekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na aliyekuwa Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita tarehe 11 Januari 2021 haifai kuwa ya rufaa.
Dk Gwajima alidai hospitali hiyo ikikamilika itakuwa nauwezo wa kuhudumia wananchi milioni 14 kutoka Mikoa ya Kagera, Kigoma, Tabora, Rukwa, Geita, na wilaya za Mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Gwajima alidanganya. Mtu hawezi kutoka Tabora aende Chato badala ya Dodoma. Au atoke Geita, Mwanza Shinyanga aende Chato badala ya Bugando Mwanza.
Ukweli hii Hospitali ya Chato Ni bajeti ya Wati wa Kagera Walinyang'anywa. Kagera ina Wilaya Nyingi, Walitakiwa wawe na Hospitali yao ya Rufaa. Sema Chuki za Awamu ya tano dhidi ya Wanakagera ndo ilisabiaha ijengwe Chato
Kulingana na Sensa ya 2012,Chato ilikuwa na watu Laki tatu(365,127) Wanajengewa Hospitali ya kuhudumia watu Milioni 14. Aibu.
Kagera yenye Mikoa ya Bukoba, Biharamulo, Muleba, Karagwe, Ngara, Kyerwa, na Missenyi, kwa Sensa ya 2012 ilikuwa na watu 2.458 millioni hawana Hospitali ya Rufaa.
Mgawanyo wa Cake ya Taifa haupo sawa. Geita, Shinyanga na Mwanza wana Hospitali yao ya Rufaa Bugando, lakini ile ambayo ingejengwa Kagera, wameijenga chato.
Eti Hospitali ya Rufaa Bugando inapokea Wagonjwa 10 kwa siku. Wakati ukienda Pale Bukoba Government wagonjwa wanalala wawili wawili kitanda kimoja wengine chini.
Kwani kosa la Kagera ni nini?
Kagera Walipata tetemeko Serikali ikasema sio wao walileta tetemeko, hata misaada iliyotolewa na Wasamalia haikupelekwa.
Rais Samia arekebishe hii.
View attachment 1941878View attachment 1941879
Muonekano wa Hospitali ya rufaa Chato
Huu ni Wizi kwa Walipa kodi wa Kagera na Kanda ya Ziwa
Chato ni kwao na rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli mwenda zake ambaye Mgombea urais wa Chadema 2020 alimuita Dikteta Uchwara.
Super woman Samia Suruhi hii imfikie. Naamini ataongea neno ili cake ya taifa kila mtu aifaidi.
Mgawanyo wa cake ya taifa sio swala la kukumbukwa bali ni haki ya sehemu husika kwani kila sehmu kuna walipa kodiSema tu ili wakati tunajenga hoja tujue kabisa una interest au hauna interest.
Isijekuwa unafanya attack kwa Mwenda zake kwa sababu unahisi hakuikumbuka Kagera kwenu
zaKyerwa
Sema Bukoba ijengwe hospital nyingine sio kutaka ya chato iwe chuo hizo ni chuki za wazi.Salaam Wakuu,
Jumamosi ya tarehe 11 Sept 2021, nilienda Chato kuangalia Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo iliwekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na aliyekuwa Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato mkoani Geita tarehe 11 Januari 2021 haifai kuwa ya rufaa.
Dk Gwajima alidai hospitali hiyo ikikamilika itakuwa nauwezo wa kuhudumia wananchi milioni 14 kutoka Mikoa ya Kagera, Kigoma, Tabora, Rukwa, Geita, na wilaya za Mikoa ya Mwanza na Shinyanga. Gwajima alidanganya. Mtu hawezi kutoka Tabora aende Chato badala ya Dodoma. Au atoke Geita, Mwanza Shinyanga aende Chato badala ya Bugando Mwanza.
Ukweli hii Hospitali ya Chato Ni bajeti ya Wati wa Kagera Walinyang'anywa. Kagera ina Wilaya Nyingi, Walitakiwa wawe na Hospitali yao ya Rufaa. Sema Chuki za Awamu ya tano dhidi ya Wanakagera ndo ilisabiaha ijengwe Chato
Kulingana na Sensa ya 2012,Chato ilikuwa na watu Laki tatu(365,127) Wanajengewa Hospitali ya kuhudumia watu Milioni 14. Aibu.
Kagera yenye Mikoa ya Bukoba, Biharamulo, Muleba, Karagwe, Ngara, Kyerwa, na Missenyi, kwa Sensa ya 2012 ilikuwa na watu 2.458 millioni hawana Hospitali ya Rufaa.
Mgawanyo wa Cake ya Taifa haupo sawa. Geita, Shinyanga na Mwanza wana Hospitali yao ya Rufaa Bugando, lakini ile ambayo ingejengwa Kagera, wameijenga chato.
Eti Hospitali ya Rufaa Bugando inapokea Wagonjwa 10 kwa siku. Wakati ukienda Pale Bukoba Government wagonjwa wanalala wawili wawili kitanda kimoja wengine chini.
Kwani kosa la Kagera ni nini?
Kagera Walipata tetemeko Serikali ikasema sio wao walileta tetemeko, hata misaada iliyotolewa na Wasamalia haikupelekwa.
Rais Samia arekebishe hii.
View attachment 1941878View attachment 1941879
Muonekano wa Hospitali ya rufaa Chato
Huu ni Wizi kwa Walipa kodi wa Kagera na Kanda ya Ziwa
Chato ni kwao na rais wa awamu ya tano Hayati Magufuli mwenda zake ambaye Mgombea urais wa Chadema 2020 alimuita Dikteta Uchwara.
Super woman Samia Suruhi hii imfikie. Naamini ataongea neno ili cake ya taifa kila mtu aifaidi.
Hii bajeti iliyojenga Uwanja wa Chato, ilikuwa imetengwa kujenga Uwanja wa Omkajunguti Mkoani Kagera.
Kwanini Chato International Airport na si Omukajunguti international Airport? Kagera inaonewa sana
Mpango wa omukajunguti ni wa Siku nyingi Je, mnatambua kuwa serikali imeshiriki katika kuudumaza mkoa kagera? Hivi ndivyo mkoa kagera umeachwa yatima na serikali ya Tanzania, Tulivyopata Uhuru kagera ilikuwa miongoni mwa mikoa mitatu yenye uchumi imara, 1. Dar es salaam 2. Kagera 3...www.jamiiforums.com
chato oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee , mbuga ya wanyama chato, veta chato,msitu wa chato, shamba la miti chato, chuo cha ualimu chato, chuo cha utumishi wa umma chato, uwanja wa ndege chato, rada ya chato, mkoa wa chato, chuo kikuu chato, etc etc etc, Mungu ni mwema sana
Mkuu kuna watu wako kimya na maumivu yaoSalaam Wakuu,