Mara ya mwisho umepeleka mgonjwa wako lini hapo? Vipimo vyenyewe vya hiyo kansa vingi hawana......Mkuu gharama ya tiba katika hospitali ile ni bure.Kuanzania kumuona daktari , dawa , mionzi mpaka kula na chakula.Au naongopa?
Mkuu gharama ya tiba katika hospitali ile ni bure.Kuanzania kumuona daktari , dawa , mionzi mpaka kula na chakula.Au naongopa?
Wagonjwa wengi wa saratani wanafika ocean road wakati ugonjwa upo hatua za juu na inakua ngumu mgonjwa kupona kabisa ugonjwa wake. Huyo mgonjwa hata akipelekwa marekani au india au nchi ingine anatibiwa kupunguza makali ya ugonjwa na kuongeza muda kuishi.Wauguzi ambao ni manesii na madaktari wa Ocean Road wanaua wagonjwa kwa makusudi.
Wagonjwa wengi wanaolazwa Ocean Road hata wakiwa hawana hali mbaya wakishalazwa Ocean Road wanazidiwa na kufa badala ya kupata nafuu.
Nimeona wodi moja gorofa ya tatu kila siku unakuta mgonjwa mmoja amekufa hata kama Jana yake alikua na hali nzuri kabisa.
Manesi wa pale hawawahudumii wagonjwa kabisa labda kama ni kuwawekea drip ya maji na damu ndio manesi wanaonekana wodini. Wagonjwa wanakaa na dawa zao wenyewe hata dawa kali ya kupunguza maumivu ya Mufin wagonjwa wanapewa wakae nazo saa ikifika wanywe wenyewe hata wagonjwa waliozidiwa hawaangaliwi kama wamekunywa dawa. Wagonjwa wanasaidiana wenyewe kwa wenyewe. Mara nyingi wagonjwa wanaanguka chooni na hata kama.anazidiwa anahudumiwa na wagonjwa wenzao manesi hawana habari kabisa.
Kwa mfano ukimuona mgonjwa wako hali sio nzuri ukienda kuwaambia manesi unafokewa kua kwa nini mgonjwa hasemi mwenyewe wakati mgonjwa mwenyewe hata kunyanyuka kitandani hawezi. Pia manesi wanawagombeza sana wagonjwa kua kwanini ndugu zao wanaenda kusema kama mgonjwa anaumwa. Hawawahudumii wagonjwa na pia hawakubaii ndugu kubaki na. mgonjwa na kama mgonjwa wako amezidiwa ukiomba nesi mmoja kua ubaki na mgonjwa wako akakubali ukabaki na mgonjwa akija nesi nwingine anakufukuza hata saa nane za usiku.
Kuna mgonjwa sasa Marehemu alikua amelazwa gorofa ya pili amezidiwa sana mwanae akaomba abaki naye mchana kwani alitundikiwa damu wakamfukuza mchana saa za kuangalia wagonjwa kuingia anakuta damu imemwagika imetapakaa chini inaelekea mgonjwa aligeuka damu ikamwagika. Chakushangaza ni kua manesi wala.daktari hawakupita wakaona hiyo hali mpaka wakati wa kuona wagonjwa ndio ndugu akaenda kuwaambia manesi. Manesi kufika wanaanza kumfokea mgonjwa ambaye hata fahamu hana.
Madaktari ndio kabisa wanapita kuwaona wagonjwa waliolazwa jinsi watakavyojisikia. Wakati mwingine inapita siku hata nine mgonjwa hajaonwa na daktari na hata mgonjwa akizidiwa tayari anaitwa haji kuona mgonjwa. Pia hata mgonjwa akipata na ugonjwa mwingine hapati matibabu sana sana atapelekwa Muhimbili.
Mgonjwa akifariki usiku au mchana wakati sio muda wa ndugu kuona wagonjwa kama wagonjwa wengine wasipoenda kuwaambia manesi, ndugu wakija asubuhi au mchana watakuya maiti hapo kitandani haijashughulikiwa. Au kama mgonjwa atakua anatapatapa katika hali ya kukata roho ndugu wakiwaambia manesi hawaji kumshughulikia mgonjwa kwa kumwekea gesi wala kumhifadhi mgojwa akikata roho. Maori zinakaa wodini kwa mass A menginbila kupelekwa mortuary. Pita hakuna intensive care care hivyo wagonjwa wanashuhudia wenzao waliozidiwa na. kukata roho mbele yao hivyo kuwafanya wagonjwa kukata tamaa.
Pale Ocean Road kila mtu ni mbabe kuanzia walinzi, manesi mpaka madaktari. Sidhani kama Ile hospital ina mkurugenzi kama angekuwepo madaktari na amnesia wangekua na woga hata ya kibinadamu.
.
Umeona wapi hospital ambayo Haitoi huduma usiku wala week-end hata wagojwa wa mionzi hawafanyiwi mionzi siku za weekend wala siku za sikukui. Usiku wala weekend hakuna.daktari wa zamu kama hospitali nyingine.
Raisi wetu kipenzi cha wanyonge mbona hospital hii iko karibu na Ikulu lakini hujaitembelea ukaongea na wagonjwa kusikiliza kero zao..
Serikali inapoteza pesa nyingi kununua mashine, dawa, kuwalipa watumishi na mambo mwingine lakini kwa makusudi manesi na madaktari wanawaua wagonjwa kwa vile wanafikiri wagonjwa wa canicer watakufa, nauliza kama ni hivyo kwa nini serikali inatumia gharama kubwa ili kuokoa maisha ya wagonjwa wa cancer.
Ushauri wangu hospital ya Ocean Road ifanyiwe overall overhaul kabisa kuanzia mkurugenzi, madaktari na. manesi hata walinzi waondolewe ili hospital ianzishwe upya kwani kwa hali ilivyo hairekebishiki hospitali imeoza kabisa.
Ugonjwa wa saratani unatibika ukiwa hatua za awali ndio maana serikali inahimiza wananchi kupima afya zao mapema ili ikigundulika mapema watibiwa na kuponaHukijui unachokisema pimbi mkubwa sana wewe nimekwambia wewe kaa subiri siku mtu wako wa karibu ama wewe mwenye uingie kwenye 18 za kansa kisha upelekwe ama umpeleke ukisha maliza kupata matibabu ya pale ndo urudi apa kutoa ama kuandika hizi pumba zako unazoendelea kuandika apa.
Tatizo kila jambo mnafikiri ni siasa haya endelea ivyo ivyo ila siku utakapo livaa hili janga ndo utaikumbuka koment yangu hii
Acha uongo wewe..vipimo vya kugundua saratani vyote vinapatikana ocean road ukiacha kipimo cha MRI tu ambazo wagonjwa wanaweza kufanya muhimbiliMara ya mwisho umepeleka mgonjwa wako lini hapo? Vipimo vyenyewe vya hiyo kansa vingi hawana......
Kama nchi tunalo tatizo kubwa sana la namna ya kushughulikia wagonjwa wa kansa. Kuna gaps nyingi sana. Wagonjwa wengi wanakufa kwa kukosa huduma inayostahili kwa wakati.
Mimi ni muhanga, najua ukweli kwa asilimia 100. Wiki hii narudi hapo kurudisha vipimo....tumefanya muhimbili na lancet (Dar na Nairobi). Kuna shida mkuu. Hii ni nchi yetu sote. Penye ukweli wacha usemwe kama ulivyo. Unadhani Lancet na wengineo wana survive kwa sababu gani??Acha uongo wewe..vipimo vya kugundua saratani vyote vinapatikana ocean road ukiacha kipimo cha MRI tu ambazo wagonjwa wanaweza kufanya muhimbili
Ni sawa kuwatupia lawama, ila mgejua wanavyopata shida, ukute wako watatu ward nzima, anayekuja kumtoa hajafika ina bidi aendelee na shift, tena huku, malipo yake ndio hayo, ana malimbikizo ya madai chungu mbovu, akidai anayishwa!! Yeye ni binadamu, kuna mmoja niliongea naye hasa hawa wa serikalini ni wa kuonea huruma tu, kazi zina wazidia, upungufu wa watumishi ndio shida!! Mtu anaingia kazini siku tatu mfululizo usiku na mchana!! Uniambie atakuwa sawamanesi sijui wana laana gani
Ocean road kuna PET Scan?Acha uongo wewe..vipimo vya kugundua saratani vyote vinapatikana ocean road ukiacha kipimo cha MRI tu ambazo wagonjwa wanaweza kufanya muhimbili
we ndugu hujui chochote unachoongea... Mtu wa ovyo sanaNipo KATAVI njoo huku unilabue kelbu mbili tatu za jicho
Usichangie bila kujua unaongea nini..Ocean road kuna PET Scan?
Wewe unaejua jibu swali langu.Usichangie bila kujua unaongea nini..
Safi sana na hili litafika kwa muhusika hasa Mkuu! KWa nini haya hayakuwepoo wakati wa Dr. Mkoma. alichukulia ile hospitali kama yake! Mkurugensi abadilishwe haraka sana.Wauguzi ambao ni manesii na madaktari wa Ocean Road wanaua wagonjwa kwa makusudi.
Wagonjwa wengi wanaolazwa Ocean Road hata wakiwa hawana hali mbaya wakishalazwa Ocean Road wanazidiwa na kufa badala ya kupata nafuu.
Nimeona wodi moja gorofa ya tatu kila siku unakuta mgonjwa mmoja amekufa hata kama Jana yake alikua na hali nzuri kabisa.
Manesi wa pale hawawahudumii wagonjwa kabisa labda kama ni kuwawekea drip ya maji na damu ndio manesi wanaonekana wodini. Wagonjwa wanakaa na dawa zao wenyewe hata dawa kali ya kupunguza maumivu ya Mufin wagonjwa wanapewa wakae nazo saa ikifika wanywe wenyewe hata wagonjwa waliozidiwa hawaangaliwi kama wamekunywa dawa. Wagonjwa wanasaidiana wenyewe kwa wenyewe. Mara nyingi wagonjwa wanaanguka chooni na hata kama.anazidiwa anahudumiwa na wagonjwa wenzao manesi hawana habari kabisa.
Kwa mfano ukimuona mgonjwa wako hali sio nzuri ukienda kuwaambia manesi unafokewa kua kwa nini mgonjwa hasemi mwenyewe wakati mgonjwa mwenyewe hata kunyanyuka kitandani hawezi. Pia manesi wanawagombeza sana wagonjwa kua kwanini ndugu zao wanaenda kusema kama mgonjwa anaumwa. Hawawahudumii wagonjwa na pia hawakubaii ndugu kubaki na. mgonjwa na kama mgonjwa wako amezidiwa ukiomba nesi mmoja kua ubaki na mgonjwa wako akakubali ukabaki na mgonjwa akija nesi nwingine anakufukuza hata saa nane za usiku.
Kuna mgonjwa sasa Marehemu alikua amelazwa gorofa ya pili amezidiwa sana mwanae akaomba abaki naye mchana kwani alitundikiwa damu wakamfukuza mchana saa za kuangalia wagonjwa kuingia anakuta damu imemwagika imetapakaa chini inaelekea mgonjwa aligeuka damu ikamwagika. Chakushangaza ni kua manesi wala.daktari hawakupita wakaona hiyo hali mpaka wakati wa kuona wagonjwa ndio ndugu akaenda kuwaambia manesi. Manesi kufika wanaanza kumfokea mgonjwa ambaye hata fahamu hana.
Madaktari ndio kabisa wanapita kuwaona wagonjwa waliolazwa jinsi watakavyojisikia. Wakati mwingine inapita siku hata nine mgonjwa hajaonwa na daktari na hata mgonjwa akizidiwa tayari anaitwa haji kuona mgonjwa. Pia hata mgonjwa akipata na ugonjwa mwingine hapati matibabu sana sana atapelekwa Muhimbili.
Mgonjwa akifariki usiku au mchana wakati sio muda wa ndugu kuona wagonjwa kama wagonjwa wengine wasipoenda kuwaambia manesi, ndugu wakija asubuhi au mchana watakuya maiti hapo kitandani haijashughulikiwa. Au kama mgonjwa atakua anatapatapa katika hali ya kukata roho ndugu wakiwaambia manesi hawaji kumshughulikia mgonjwa kwa kumwekea gesi wala kumhifadhi mgojwa akikata roho. Maori zinakaa wodini kwa mass A menginbila kupelekwa mortuary. Pita hakuna intensive care care hivyo wagonjwa wanashuhudia wenzao waliozidiwa na. kukata roho mbele yao hivyo kuwafanya wagonjwa kukata tamaa.
Pale Ocean Road kila mtu ni mbabe kuanzia walinzi, manesi mpaka madaktari. Sidhani kama Ile hospital ina mkurugenzi kama angekuwepo madaktari na amnesia wangekua na woga hata ya kibinadamu.
.
Umeona wapi hospital ambayo Haitoi huduma usiku wala week-end hata wagojwa wa mionzi hawafanyiwi mionzi siku za weekend wala siku za sikukui. Usiku wala weekend hakuna.daktari wa zamu kama hospitali nyingine.
Raisi wetu kipenzi cha wanyonge mbona hospital hii iko karibu na Ikulu lakini hujaitembelea ukaongea na wagonjwa kusikiliza kero zao..
Serikali inapoteza pesa nyingi kununua mashine, dawa, kuwalipa watumishi na mambo mwingine lakini kwa makusudi manesi na madaktari wanawaua wagonjwa kwa vile wanafikiri wagonjwa wa canicer watakufa, nauliza kama ni hivyo kwa nini serikali inatumia gharama kubwa ili kuokoa maisha ya wagonjwa wa cancer.
Ushauri wangu hospital ya Ocean Road ifanyiwe overall overhaul kabisa kuanzia mkurugenzi, madaktari na. manesi hata walinzi waondolewe ili hospital ianzishwe upya kwani kwa hali ilivyo hairekebishiki hospitali imeoza kabisa.
Dude your not serious kwakwel, kwaiyo kama in bure ndio watu wasitibiwe? Nibora wakatoza pesa kama wataona inafaa kuliko bure isiyo na mana...Hebu kua siriaz kidogo watu wanaongelea UHAI hapa!!Mkuu gharama ya tiba katika hospitali ile ni bure.Kuanzania kumuona daktari , dawa , mionzi mpaka kula na chakula.Au naongopa?
Hii itafanyiwa kazi kwani napingana na wewe unavyosema I quote "ili coz hii regime haitaki kusikia wala kuona raia wema wakikosoa utendaji mbovu wa watumishi pamoja na viongozi wake" Actually it is the opposite. Mtu ukitaka haki yako basi itafute regime hii! Ukisubiri baadae hutapata ng;ooo. Kuna wangapi wamerudishiwa nyumba zao na ingekuwa awamu zilizopita watu walichukuliwa nyumba kisa mikopa lakini jkwa utapelki watu wamerudishiwa. Sembuse watu hawafanyi kazi yao vizuri?!?!?Mimi ni muhanga wa haya aliyoyaandika muandishi mwaka jana mwezi kama huu tarehe 5 nilimpoteza my beloved mama kwa sababu na vikwazo kama hivi alivyoviandika ndugu muandishi,
Sitaki kusema sana katika hili coz hii regime haitaki kusikia wala kuona raia wema wakikosoa utendaji mbovu wa watumishi pamoja na viongozi wake
bt nachoweza kusema iko siku ata uyo mkurugenzi ama daktari mkuu wa pale baye atapata mgonjwa wa kansa na kipindi hicho yeye hatokuwa madarakani alafu ndo atajua machungu ya kumpoteza ndugu, jamaa, baba, mama na wengine kwa sababu ya uzembe wa Nesi ama dokta mmoja Mpumbavu tena kwa maksudi kabisa.
I wish Mungu angekuwa anatoa adhabu hadharani kwa watu wanaofanya dhambi kama hizi,
Yani mtu mgonjwa wako amezidiwa kiasi hawezi kuinuka even kwenda chooni alafu anakuja Nesi mmoja mpumbavu kweli kweli anakwambia hurusiwi kubaki wodini kumuhudumia mgonjwa wako eti akiwa vibaya zaidi mgonjwa atasema mwenyewe wakati huo mgonjwa mwenyewe ata kusema wala kujigeuza hawezi sijui kujilisha atawezaje?
Serious wahudumu wengi wa pale wana ile extremly roho mbaya they don't care about maumivu waliyonayo wagonjwa.
Ila wapo wachache wenye roho ya utu na ubinadamu ambao wanatekeleza majukumu yao kwa weledi mkubwa na kwa huruma ya hali ya juu siwezi kuwa sahau manesi kama Everyn Simaga, dkt Anna mshumbusi, nesi Witness Ndibawa, dokta Migara Rwayo, nesi Magreth Simaya, dokta Tiba Ndericko na wengine wote wenye moyo wa kibinadamu na mnaojua kuwa kazi mnayoifanya ni kuihudumia jamii Mungu awaongezee busara na hekima katika maamuzi yenu ya kila siku.
Mwisho mlaaniwe wote madokta na manesi wenye roho mbaya kama sumu ya panya.
pole sana mkuuPole sana Mkuu! mi nakumbuka mzee wangu alilazwa Kule Dom benjamini mkapa muda wote anatumia oxygen, Nesi hakai kwa wagonjwa anachumba kingine huko nje tuu, sasa ni wewe tu hapo na hali ya mgonjwa wako, Kuna siku amekuja daktari anataka kunifukuza eti yupo anasema yupo nesi atafanya hiyo kazi, nilivyo muangalia tu Usoni alitafuta majibu mengine mbona. Ila mwisho Mzee alifariki alihamishiwa ICU kule.sa Sijui na huko palikuaje. Ngoja tuamini ni Mambo ya Mungu tu
Ugonjwa wa saratani unatibika ukiwa hatua za awali ndio maana serikali inahimiza wananchi kupima afya zao mapema ili ikigundulika mapema watibiwa na kupona
Sasa hebu sema wewe umewahi kufanya check up lini ya saratani..acha kulaumu km huna uhakika