Hospitali ya mkoa Mbeya,wajawazito wanalala wawili kitanda kimoja

Hospitali ya mkoa Mbeya,wajawazito wanalala wawili kitanda kimoja

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
Habari zenu wakuu..


Katika hali isiyo ya kawaida,leo asubuhi nikiwa katika hospitali ya Mkoa mbeya,iliyo na majengo makubwa nimeshuhudia kitu ambacho sikukitarajia.

Nikiwa nimeenda kumpeleka ndugu yangu aloshikwa na uchungu,nikafanikiwa kukiona chumba wanacholala wajawazita,sikuamin nilipoona wanalala wajawazito wawili kwenye kitanda cha FUTI mbili,tena wale waloshikwa na uchungu.

attachment.php
 

Attachments

  • 1385019932181.jpg
    1385019932181.jpg
    55.9 KB · Views: 212
mkuu inaelekea wewe ni mgeni na Hospitali zetu hadi ulivyopeleka mgonjwa!! kwa taarifa yako MUHIMBILI pia hayo ni mambo ya kawaida!!! Karibu tena.
 
Unaongelea wawili! Huku Kahama Hospital wanalala watatu,wawili juu mmoja uvunguni huku dhahabu zikiwa zinasepa daily.
 
Back
Top Bottom