Je, kwasasa ndio kipaumbele?
Je, hili ni la muhimu kuliko huduma za msingi za jamii zinazochechema?
Je, hili ni la lazima sana kiasi kwamba lisipofanyika kuna watu wataathirika kiafya, kijamii na kiuchumi?
Kuingiza milion 400 kwa dakika kumi tu kwa serikali hakumaanishi kuwe na matumizi mabovu
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona haijaanza leo ndugu yangu, kama ingekuwa tishio, tungeona mass graves mtaani
Lockdown sio suluhisho. Mataifa makubwa wameshindwaUbaya wake ni kukosa mahitaji muhimu na wafanyabiashara hasa wadogo kukosa pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
It's truee musoma hali ni mbaya.... Kuna mzee mashuhuri anaitwa Pascal, maarufu kma ''Baba watoto'' amefariki majuzi tu kwa hiyo changamoto. Ni family friend so muache ubishi usio na tija.Hata mimi mjomba wa rafiki yake na rafiki yangu,mama yake ambaye ni shangazi wa bibi yake,juzi kakutwa kwa mjukuu wake akiwa hoi hajitambui.
Wanasema hiyo ni corona.
Wameshindwa? Wameshachanja ndio maana.Lockdown sio suluhisho. Mataifa makubwa wameshindwa
Sijabisha nimekupa kisa cha jamaa zangu pia.It's truee musoma hali ni mbaya.... Kuna mzee mashuhuri anaitwa Pascal, maarufu kma ''Baba watoto'' amefariki majuzi tu kwa hiyo changamoto. Ni family friend so muache ubishi usio na tija.
Haaahaaaa bado upo denial stage? Ndio maana madikteta huminya taarifa ili muwasikilize wao tu wanachosema. Mtu hujawahi kwenda Bugando kipindi cha Covid 19 wave 2 alafu upo nyuma ya keyboard unabisha ulitegemea taarifa itoke wapi??Kwamba toka mwaka jana ambapo ndio corona ilitangazwa kuingia Tanzania na hatuwa tukichukua tahadhari ila hatukuwahi kusikia upungufu wa mitungi ya oksijeni, kwanini sasa?
Mbona bado wanaumwa kuliko sisi tusiochanjwa?Wameshindwa? Wameshachanja ndio maana.
Sasa asingekufa nani ungepata nafasi ya kulamba vijisadaka hapo kwenye kakanisa kenuHaaahaaaa bado upo denial stage? Ndio maana madikteta huminya taarifa ili muwasikilize wao tu wanachosema. Mtu hujawahi kwenda Bugando kipindi cha Covid 19 wave 2 alafu upo nyuma ya keyboard unabisha ulitegemea taarifa itoke wapi?....
Kwa statistics (namba) uliyotoa, mitungi 50 kwa siku inaonesha uhakisia wa upungufu wa mitungi kweli kama hali iko kama ulivyoelezea-hata mimi darasa la saba nimepata picha na kuelewa siyo kama mwanzisha uzi ambae hajatoa idadi ya mitungi iliyopo standby na inayotumika kwa siku.Swala ni kuongeza mitungi,wanazidiwa na wagonjwa nlikua wodi ya private nauguza,kwa siku ilikua inapangwa mitungi zaidi ya hamsini ikifika mchana imeisha...mgonjwa wa covid kumaliza mitungi 5 akiwa serious ni jambo la kawaida
Unaonyesha jinsi ulivyo mtupu kichwani.Wanakufa wapi? Lini na saa ngapi?
Hebu niondolee ujinga wako hapa. Na ungekuwa karibu ningekubandua kinyeo!
Majnuun wahed!
Kuna wagonjwa wa covid nimeshuhudia mitungi 5 anamaliza kwa siku,inategemea alikuja n hali ganiKwa statistics (namba) uliyotoa, mitungi 50 kwa siku inaonesha uhakisia wa upungufu wa mitungi kweli kama hali iko kama ulivyoelezea-hata mimi darasa la saba nimepata picha na kuelewa siyo kama mwanzisha uzi ambae hajatoa idadi ya mitungi iliyopo standby na inayotumika kwa siku.
Sijabisha bali nahoji tatizo humu ukihoji unaonekana unabisha kwamba hutakiwi kuhoji.Haaahaaaa bado upo denial stage? Ndio maana madikteta huminya taarifa ili muwasikilize wao tu wanachosema. Mtu hujawahi kwenda Bugando kipindi cha Covid 19 wave 2 alafu upo nyuma ya keyboard unabisha ulitegemea taarifa itoke wapi??
Kuna mchungaju wetu alifia kwenye ka-dispensary mwaka jana march kisa tu alikataliwa hospitali kubwa kubwa zilizokua zimejaa watu wenye changamoto za kupumua. Ukitaka jina ntakupa PM uka verify....
Tuache ubishi kma hatuna facts
Waeendelee kubisha sasa ianze nao hukohukoHabari wadau.
Hali naona imeanza kuwa mbaya kwa upande wetu Tanzania ,nasikia huko Bugando washaanza kukumbwa na upungufu wa mitungi ya oxygen..
KamuulizeHivi JPM alipigwa na wimbi la tatu au la kwanza?
Hahahha umewapima wangapi mkuu? Hta leo tukipima watanzania 70% VVU na Saratani trust me namba itakayopatikana itatisha mnoo.Mbona bado wanaumwa kuliko sisi tusiochanjwa?