Hospitali ya Apollo ya India Kuanza Ujenzi wa Hospitali ya Matibabu ya Kibingwa ya Kansa hapa Tanzania

The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
19,586
14,138
Nawasalimu kwa jina la JMT..

Moja kwa moja kwenye mada, Hospital maarufu ya Tiba za kibingwa kwenye Moyo na kansa ya Apollo ya India inatarajia kujenga hospital Kubwa ya Tiba hapa Tanzania.

Serikali ya India imeingia Makubaliano na kampuni ya Eclipse Group of Afrika kwa ajili ya ujenzi wa hospital hiyo ya kisasa kabisa Africa nzima.

Kwa kuanzia itaanza na vitanda 60 kwa ajili ya ugonjwa wa Kansa..

Hii ndio faidia ya Kufungua Nchi na Diplomasia ya Uchumi ya Rais Samia 👇

Screenshot_20220821-121933.png
 
Nawasalimu kwa jina la JMT..

Moja kwa moja kwenye mada, Hospital maarufu ya Tiba za kibingwa kwenye Moyo na kansa ya Apollo ya India inatarajia kujenga hospital Kubwa ya Tiba hapa Tanzania.

Serikali ya India imeingia Makubaliano na kampuni ya Eclipse Group of Afrika kwa ajili ya ujenzi wa hospital hiyo ya kisasa kabisa Africa nzima.

Kwa kuanzia itaanza na vitanda 60 kwa ajili ya ugonjwa wa Kansa..

Hii ndio faidia ya Kufungua Nchi na Diplomasia ya Uchumi ya Rais Samia
Ni jambo jema sana; ila haihitaji tozo yoyote kufanya haya. Tafadhali waondoleeni wananchi tozo
 
Back
Top Bottom