Kama kuna mtu kaongea jambo la maana na la ukweli ni huyo mbuzi
bless on.
Majan yana maana sana ila mmeachia mbuzi. Nenda mda huu hos ukiwa mzma na uzma wako uwaambie nauma ebola kama hujadungwa qxoap ufe. Unapeleka mtu ajifungue mara ya pili wanampasua anakufa ku nakuletewa ripoti ya kwamba tusingeacha wote wafe kumbe wamemtoa mke wako mafiga yote. (Sijavuta anythng). Hos mim najua ni mbili tu. Konyagi na kibwenye cha wife ama zimalaya. Nimegundua kukosa usingz ni ugonjwa na ukienda hos watakwambia piriton ndogo na kubwa zote zinafanya kazi moja. Mleta mada am with you 260% maana 100% siku hizi haifanyi kaz.