Nenda muhimbili daraja la kwanza.
Hahaha pamoja na huo ushuhuda umenipa bado unanshauri niende,ila ntaenda how bout Kairuki?Nakubaliana nawe Ritz Muhimbili ni wazuri kwa kung'oa meno. Mwaka fulani niling'olewa jino na Dr., mmoja mzee nahisi alikiwa kalala nazo na kaziamkia [pombe ] ,haaa.... alining'oa ganzi haikuwa imekolea nilipiga uyowe hadi akastuka na wafanyakazi wa room za karibu wakaja kuona kunani. Nilipotoka nikawasikia wanasema mzee alikuwa bwiii. Ila Muhimbili pazuri nenda.
Nashukuru...we acha tu yani hali yangu ni tata,nakunywa painkiller zote lakn wapi,toothpaste zenye viwango ni kama??
Hi.bro pole saana kama bado hujatibu hilo jino nenda pale SUWATA girl school kuna mtaalam wa meno mzee wa siku nyingi.
Mkuu Toothpaste zuri Ni SENSODINE ile ya UK, mm nilikua na matatizo ya Meno lakini nilipoaza kuitumia hii dawa sasaivi niko poa kabisa. Inapatikana ktk Maduka ya dawa mengi tu hapo Dsm.Nashukuru...we acha tu yani hali yangu ni tata,nakunywa painkiller zote lakn wapi,toothpaste zenye viwango ni kama??
Mkuu nakushauri nenda muhimbili,unawahi asbh sana,ukiingia getini tuu upande wako wa kushoto kuna clinic nzur sana ya kinywa,pako poa,kama unahitaji x ray wana vifaa vya kisasa kabisa,pole mkuu,jino linauma s mchezo.
Dah yule Mzee wa SUWATA hayupo pale sijafanikiwa kujua amehamia wapi (bonge la dentist)
Nenda Muhimbili pale Dental ukiingia tu getini upande wa kulia pako poa sana tu lakini uwahi asubuhi sana pale Matibabu uhakika sana
Karibu DAR group HOSPITAL Near TAZARA OFFICE PIA NEAR TBC NA FLYOVER
0762291006 DR BINGWA WA KINYWA NA MENO
Sent using Jamii Forums mobile app