Hospitali gani nzuri ya meno jijini Dar?

Hospitali gani nzuri ya meno jijini Dar?

Ekenywa nilihama since 2017
Wanatumia jina langu mie sipo pale na ndio maana nimeanza kubadili anwani baada ya kupata malalamiko mengi na nimewaambie watoe jina langu kwani sipo pale

Sent using Jamii Forums mobile app

Okwy. Kwahiyo umesema unapatikana Dar Group Hospital (ingawa sijawahi kuisikia).
Nachukua namba yako hapa kesho nije.

Sema umenivuruga location. Unasema TAZARA mara tena TBC. Navojua TBC wapo huku Sayansi kijitonyama.

Nielekeze exact location Dr.

Nataka pia kujua mnapokea BIMA, ama niandae cash kiasi gani
 
Nasikia eti pale Muhimbili wanawaachia wanafunz wao (interns) washungulike na wagonjwa wa meno. Wale ma specialist wanakua bize wodini huko.
Hili unasemaje wewe
Hapana,inategemea na userious wa tatizo lako...ila kama unahofia hao interns nenda siku ya Ijumaa.
 
Mkuu Toothpaste zuri Ni SENSODINE ile ya UK, mm nilikua na matatizo ya Meno lakini nilipoaza kuitumia hii dawa sasaivi niko poa kabisa. Inapatikana ktk Maduka ya dawa mengi tu hapo Dsm.
Nitaitafuta
 
Back
Top Bottom