Kuwa serious mkuu.Pale kwa fundi umeme !
Oh samahani kwa dentist !!
I appreciate your concern,natanguliza flying kisses kwako kunirekibisha.ThanksKuwa serious mkuu.
Poleni kwa usumbufu,ndo maana nimeamua kuuliza maana sijawah kutoa jino hapa dar na naogopa maana kila mtu ananambia nitafute hospital nzurikuna cku nilimpeleka mdogo wangu,hospital moja tandika!ctakuja sahau nadhani yule dr.alikuwa anajifunza nusu saa jino halijatoka!eti anamuuliza mgonjwa huwa unakula nini mbona meno magumu hivyo? Nenda kwanza upumzike baada ya nusu saa tuendelee tena!(half time),ctakuja sahau,nenda hospital nzuri tena kama ni meno ya juu kuwa makini sana.
kuna cku nilimpeleka mdogo wangu,hospital moja tandika!ctakuja sahau nadhani yule dr.alikuwa anajifunza nusu saa jino halijatoka!eti anamuuliza mgonjwa huwa unakula nini mbona meno magumu hivyo? Nenda kwanza upumzike baada ya nusu saa tuendelee tena!(half time),ctakuja sahau,nenda hospital nzuri tena kama ni meno ya juu kuwa makini sana.
Nashukuru sana rafiki,kesho asubuhi ntajitahd kuwahi,Vipi kuhusu gharama zao?Mkuu nakushauri nenda muhimbili,unawahi asbh sana,ukiingia getini tuu upande wako wa kushoto kuna clinic nzur sana ya kinywa,pako poa,kama unahitaji x ray wana vifaa vya kisasa kabisa,pole mkuu,jino linauma s mchezo.
Nashukuru...we acha tu yani hali yangu ni tata,nakunywa painkiller zote lakn wapi,toothpaste zenye viwango ni kama??... 'PLL' pole sana ndg yangu kwa maumivu ya jino' najua tabu unayopata!
...mi mwenyewe nina jino moja linanipa shida ninapoweka maji ya baridi au moto, lazima nilisikilizie!
Nina kushauri utumie TOOTHPASTE zenye viwango.