Hospitali gani Dar ya kujifungulia unahudumiwa na daktari wa kike?

Habari wana JF
Mke wangu anatarajia kujifungua siku za usoni, ni hospitali gani nimpeleke Dar es Salaam ili aweze kuzalishwa na mwanamke Mwenzake?

Msaada tafadhali.
mwanamke akimzalisha mkeo hawezi kumtreat vyema na kwa usalama kuzidi mwanaume. acha wivu, utailinda wakati imeduna na kuvimba kwa mimba hata hahitaji icho kitu, akipona utachapiwa tu. yaani na tumbo la miezi 9 unaogopa atachepuka na daktari wa kiume? mnawazaga uzinzi tu maishani mwenu.kipi ni kipya alichonacho mkeo ambacho wengine hawakukiona kabla haujamuoa?
 
Kwamba akizalishwa na mwanamke hawezi kumtreat vyema na kwa usalama!
Mambo mengine unabaki cheka tu.
 
chukua wanawake 100 waliowahi kujifungua kwa msaada wa both genders, waulize unataka daktari mwanaume au mwanamke? 80 watakuambia wanataka daktari mwanaume. hao 20 waliobaki ni wale hawana marinda wanataka kufichiwa siri na mwanamke mwezao. hakuna hata siku moja mwanamke na mwanamke walishawahi kupendana kwa moyo, hua wanalazimisha tu.
 
Ahsante kwa Elimu mkuu.
 
Kuna mmoja alishawahi niambia kitu kuwa kuna wale akina mama huwa hawawezi jifungua vizuri sababu ya kushindwa kusukuma mtoto sababu huwa wanaingiliwa kinyume na maumbile.na waume zao.hivyo.ujifunguaji wao .hufichua siri kwani hutakiwa wajazwe mipamba nk kwenye kinyeo kumpa kick ili asukume mtoto asiishie kujamba jamba tu.na kujinyea na kukosa upepo wa kusukuma mtoto.atoke nk

Wanaume wengine kuficha siri huwa hawataki mkunga mwanaume au daktari mwanaume
Kunya wakati anasukuma mtoto ni jambo la kawaida kabisa awe anaingiliwa au haingiliwi lazima akate kimba labda kama alikua hali siku za mwisho kabla ya uchungu.
 
Wanawake wanaoingiliwa kinyume na maumbile kujifungua sio.kwa ujambaji ule.na unyaji ule asipodhibitiwa huko.kwenye makalio.yake akijifungua aweza jaza kinyesi wodi nzima na asisukume mtoto akafia ndani kama madaktari wa operation hawako.karibu ataishia kutoa mavi na ushuzi wa kujamba sio mtoto
 
Likini unakubali kwamba kunya ni jambo la kawaida mwanamke akiwa anajifungua hata kama haingiliwi.
 
Wee umewakumbukaje wao wasikukumbuke.tena wao ni profesional🤭
Umefikiria kwanza kabla ya kuandika? Yeye kafanya hilo jambo mara chache ndiyo maana anakumbuka. Hao madaktari au manesi wakiume waliomzalisha wanafanya hiyo kazi kila SIKU sijui kwa miaka mingapi!!! How comes wamkumbuke yeye wakati wao si ajabu wanahudumia wanawake say 20 kwa siku? Labda kama ana mkia au ana matiti mgongoni useme ni mara yao ya kwanza kuona mwanamke wa namna hiyo!!!
 
Kuna mmoja alishawahi niambia kitu kuwa kuna wale akina mama huwa hawawezi jifungua vizuri sababu ya kushindwa kusukuma mtoto sababu huwa wanaingiliwa kinyume na maumbile.na waume zao.hivyo.ujifunguaji wao .hufichua siri kwani hutakiwa wajazwe mipamba nk kwenye kinyeo kumpa kick ili asukume mtoto asiishie kujamba jamba tu.na kujinyea na kukosa upepo wa kusukuma mtoto.atoke nk

Wanaume wengine kuficha siri huwa hawataki mkunga mwanaume au daktari mwanaume
Hivi mwanamke unakubali vipi kufanyiwa hayo?
 
Umefikiria kwanza kabla ya kuandika? Yeye kafanya hilo jambo mara chache ndiyo maana anakumbuka. Hao madaktari au manesi wakiume waliomzalisha wanafanya hiyo kazi kila SIKU sijui kwa miaka mingapi!!! How comes wamkumbuke yeye wakati wao si ajabu wanahudumia wanawake say 20 kwa siku? Labda kama ana mkia au ana matiti mgongoni useme ni mara yao ya kwanza!!!
sijakuuliza wewe achashobo mkuu
 
Kuna hospitali moja ya kinamama ipo Kariakoo mtaa wa Narun'gombe corner na Luvingstone. Nyuma ya NMB iliopo mtaa wa Luvingstone. Inaitwa Kings hospital.
 
Back
Top Bottom