Hospitali ama zahanati nzuri ya kutahiri watoto kwa hapa Dar

Hajto

JF-Expert Member
Sep 30, 2013
5,592
5,481
Habari zenu wanajf,napenda kujua hospitali ama zahanati ambayo ni nzuri kwa ajili ya kutahiri watoto kwa hapa dar,na pia ningependa kujua na gharama zao za kutahiri,natumahi mtanisaidia kwa hilo
 
Dr Juma
Kariakoo
Mtaa wa Rufiji na Swahili opposite na Dallas_inn
0-9year ni 40,000 tshs
Mawasiliano 0754297001
 
Back
Top Bottom