kasukububu
Member
- Jan 9, 2013
- 63
- 25
Siku moja kwenye hospital wa vichaa dokta wao alikuwa anapita ,juu ya ghorofa akamwona kichaa mmoja akikojoa ila yule kichaa alipomwona docta akaacha kukojoa na kukimbia,docha kwa kuona tukio lile akafurahi sana kwani alijua yule kichaa kapona,akamtafuta ili kumuuliza kwa nn alikimbia,mahojiano yakawa hivi
docta;wewe kwa nn umekojoa na uliponiona ukakimbia?
Kichaa;niliogopa unaweza kushika na kuvuta mkojo wa afu kikaanguka.docta hoiiiiii
docta;wewe kwa nn umekojoa na uliponiona ukakimbia?
Kichaa;niliogopa unaweza kushika na kuvuta mkojo wa afu kikaanguka.docta hoiiiiii