Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 813
Nikiongea na muathirika mmoja wapo wa tukio hilo, alinisimualia kuwa katoka Hospital kumpeleka mwanawe ila alipoandikiwa dawa aina mbili mojawapo ikiwa ni Panadol lakin Hospital hii ya mkoa hakuwa na hata panadol ikambidi aitafute nje ya hospital hiyo ya mkoa ambayo inataka kupewa hadhi ya Lufaa
!!!
2) Jana rafiki yangu alikuwa kalazwa hapo hapo Hospital ya mkoa Mtwara (Ligula) kwa ugonjwa wa tumbo ambapo akihala na kulazwa kwa kutundikiwa Drip za maji ila alinieleza kuwa drip hizo walinunua nje ya Hospital hiyo kutokana na hospital hiyo kutokuwa na Drip za maji