Cc: jfrank
shida ya dawa haipo Ligula tu, imesambaa nchi nzima. Msd wanapiga dili kama hawana akili nzuri kwa kisa cha wenye mamlaka kuchimbia vichwa vyao kwenye mchanga wa uchaguzi wa mwakani. Wamegeuka mbuni. Na kwao ni agenda ya 2015 kuwa nitahakikisha dawa haziadimiki hapa na pale. Na kwa ujinga wetu tunawapa kura.
Huu umekuwa mchezo sasa wa kila msimu wa uchaguzi unapoishia watendaji wanakwapua kupita maelezo kwani ajaye ataanza kivyake. Ona idara za serikali ni kama hazijapata kasma ili hali wamepewa na kuzichimbia kwenye account zao.
Mbona wametushika pabaya!