Hospital hakuna dawa,naenda Lumumba CCM kuchukua

Hospital hakuna dawa,naenda Lumumba CCM kuchukua

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,692
Reaction score
140,378
Dogo angu amepimwa akakutwa na UTI.Dawa hawana isipokuwa panadol.Kutokana na uzito wangu dada wa dirisha la dawa ameniambia twende kwa mfamasia ukahakikishe.Nakuta dawa muhimu hakuna isipokuwa panadol...Nimefura balaa naenda CCM Lumumba mnipe dawa za UTI nilizoandikiwa.Mkikosa hìzo dawa mniambie kwa nini niendelee kuwachagua
 
Acha utoto wewe tutajie ni hospitali gani hiyo.
 
.. OKW BOBAN SUNZU nenda lumumba tena beba rungu just in case wakikuletea ujuhaa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sikushauri,yataenda kukupa dawa za mende ufe tu.
 
hospitali karibia zote za wilaya hazina dawa.MSD wanadai chao.akaunt za vituo Msd zinasoma negative

hospital ya wilaya nilipo, juzi wife kapimwa kakutwa na typhoid. dawa aliandikiwa tatu.
1. chrolofenical
2. B complex
3. panadol.

alipoenda famas, akaambiwa hakuna dawa hata moja, ilibidi twende private pharmacy, 20,000/- ikalala
 
umeona mkuu,jiulize nduguzo kijijini hali ipoje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom