Hosni Mubarak Ana Kansa ya Tumbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hosni Mubarak Ana Kansa ya Tumbo

Discussion in 'International Forum' started by kilimasera, Jun 22, 2011.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  [TABLE]
  [TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]Aliyekuwa rais wa Misri kabla ya kulazimika kung'atuka madarakani kufuatia maandamano ya raia, Hosni Mubarak maisha yake yako hatarini kutokana na kansa ya tumbo.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Rais wa zamani wa Misri, Hosni Mubarak ambaye alitupwa jela akisubiri kesi inayomkabili ya kutoa amri ya kuuliwa kwa watu waliokuwa wakiipinga serikali yake, anasumbuliwa na kansa ya tumbo kwa mujibu wa mwanasheria wake.

  Mubarak pamoja na wanae anatarajiwa kupandishwa kizimbani mwezi wa nane mwaka huu kujibu mashtaka ya mauaji ya waandamanaji ambapo iwapo atapatikana na hatia huenda akahukumiwa kunyongwa.

  "Ana kansa ya tumbo na uvimbe kwenye tumbo lake unazidi kuongezeka", alisema mwanasheria wake Farid al-Dib.

  Mubarak mwenye umri wa miaka 83, amelazwa kwenye hospitali ya jela kwenye mji wa Sharm el-Sheikh kutokana na matatizo ya moyo yaliyomuanza aprili 13 wakati alipokuwa akihojiwa kuhusiana na mauaji ya waandamaji.

  Mubarak na watoto wake na baadhi ya waliokuwa mawaziri wake watapandishwa kizimbani tarehe tatu mwezi wa nane wakikabiliwa na tuhuma za mauaji na makosa mengine ya rushwa na ubadhirifu.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
 2. WiseLady

  WiseLady JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2010
  Messages: 3,248
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mungu ampe afya njema :pray:
   
 3. Wit

  Wit JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 417
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ana wakati mgumu sana
   
 4. M

  Marytina JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Naomba asife ili aipatepate
   
 5. z

  zamlock JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 3,849
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  malipo huwa ni hapa hapa duniani lazima apate cha moto
   
 6. itnojec

  itnojec JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 2,191
  Likes Received: 223
  Trophy Points: 160
  atiwe hatiani na afungwe miaka 20 jela....
   
Loading...