Hormuz Itafungwa Tena

We jamaa ni likichaa kabisa na ushabiki wako maandazi huo wa yanga,
hao kobazi wamekubali suluhu baada ya kutandikwa vizuri saana tu.
Hiyo hormuz wataiota sasa hivi hawarudi tena pale.
We unaleta ubishi huku unajamba jamba hapo ushavimbiwa kunde.
Wanapigwa usanii waachie ili hao mazayuni wakae jumla.
Uwe unaenda kunya Punguza hayo Mavi yasipande kichwani.
Matako wewe

View: https://youtube.com/shorts/QXKmNjDbk9U?si=eo_ckgeSH-mDtbep
Ujumbe ndio huo Iran anasema Israel kashambulia Iran lazima tufunge tena Hormuz hapa naona Iran anamtafuta Israel amtie adabu

Hio ni breaking news
We jamaa ni likichaa kabisa na ushabiki wako maandazi huo wa yanga,
hao kobazi wamekubali suluhu baada ya kutandikwa vizuri saana tu.
Hiyo hormuz wataiota sasa hivi hawarudi tena pale.
We unaleta ubishi huku unajamba jamba hapo ushavimbiwa kunde.
Wanapigwa usanii waachie ili hao mazayuni wakae jumla.
Uwe unaenda kunya Punguza hayo Mavi yasipande kichwani.
Matako wewe
 
pumbavu yule trump analopolopo tu, mpaka sasa hakuna meli imepita pale
Ukigongwa na nyoka, hata ukiona unyoya unakimbia 😂 😂 😂


 
Tatizo huna akili tazama unavyo poteza mda wa kuandika unarudia maneno yale yale. Bora nile kunde kuliko wewe unakula chakula kilicho tupwa kwenye mapipa

Sina mda wa kupoteza na wajinga kama wewe
 
Kobazi katika ujinga wako
 
Hacheni kuipa Israeli sifa za kijinga, Israeli ni waarifu wa kivita na wanafanya hivyo kwasababu ya kukingiwa kifua na marekani at UN.

Jana kapiga populated area tena kwa kushitukiza bila tahadhari, unaweza kusema ni shambulizi la kigaidi.

Shambulizi kama hilo lingafanywa na Iran sasahivi tungekuwa tunasikia binja zikipigwa na dunia nzima kulaaani hicho kitendo na kutishia kwenda kuipiga iran kwa hilo kosa

Israeli siku zote yeye anakimbilia kushambulia raia ili kujipatia ushindi wa halamu na ni kinyume na sheria za kivita
 
Waliosema wanakwenda kuwaokoa raia wa IRAN ndio tena wanatishia kuharibu miundombinu na ustawi wa rais hao hao......
Nani ana nia njema ..yule dunia iliambiwa ni taifa OVU au yule anayewalinda raia wake....
Hivi ni aibu ya karne...
Nadhani taratibu kuna generation itaanza kuuona ukweli na kuanza kudadisi....kama ambavyo Western wali- brand kutumika nguvu kubwa kuwa uislam ni ugaidi.....
Hivi dunia Kuna mambo huwa yana ji-position naturally kulingana na time...

Kuna kizazi kinapima..
 
Tabia za Israel zitapelekea Israel itengwe na washirika wake! Hali hii itawafanya wapitie magumu sana wasiyotarajia
Kwa hiyo unataka wakae tu washambuliwe na maadui wanaotaka kuifuta kwenye ramani ya dunia wasijitetee kisa eti watatengwa na washirika si watengwe tu kama ni hivyo.

Halafu biblia inasema mwishoni watakuja kutengwa na ndio itakua mwanzo wa kuja kwa Mesia kuwaokoa, Romans 11:26
 
Siku ile Hamas walipowavamia na kuua na kuteka watu zaidi ya 1,200 haikuwa shambulizi la kigaidi..!!!???😧😧😧
 
Tabia za Israel zitapelekea Israel itengwe na washirika wake! Hali hii itawafanya wapitie magumu sana wasiyotarajia
Umeanza kuisikia Israel Leo?

Hao waarabu wote wanamnyenyeekea na mikataba ni migumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…