Hormonal imbalance

Nahita

Member
Jul 15, 2018
54
45
Mvurugiko wa homoni kwa wanawake ni kitendo cha kuongezeka au kupungua kwa homoni katika mwili wa mwanamke, hivyo kufanya mabadiliko katika mwili wa mwanamke. Tatizo hili pia hujulikana kwa kitaalamu kama Hormonal imbalance.

Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya 80%.Asilimia kubwa ya wanawake mabadiliko huanza kati ya miaka 40 na 50, lakini kwa sasa kukosekana kwa usawa wa homoni huweza kuonekana mapema zaidi kuanzia miaka14.Mabadiliko haya asilia hutokea wakati wa balehe (kuvunja ungo), hedhi, ujauzito, kabla na baada ya ukomo wa hedhi.

Mvurugiko wa homoni kwa wanawake huweza kuchangiwa na kutokuwepo kwa usawa katika homoni zifuatazo; Estrogen, progesterone na testosterone ambapo kuzidi au kupungua kwa homoni hizi hupelekea mvurugiko wa homoni kwa wanawake.
Kama wewe ni mwanamke na una changamoto hizo hapo juu Bonyeza link hapo chini kujiunga na group la WhatsApp kupata suluhisho la changamoto yako sasa

71788e80c682c9cf63e3b72a866a3599_0.jpg
 
Nje na wale wenye matatizo ya homoni Kwa kurithi,ulaji wanaokula sasahivi dada zetu lazima homoni zivurugike tu!,unakuta mdada barabarani ana kitambi sio cha mimba na anajiona fresh tu!,life style za wadada wengi hawana kazi ngumu ila anakula vyakula vya wabeba zege Tena hata usiku anaenda kulala kapakia ugali mtoto wa miaka 5 hauruki!..

Matumizi ya vidonge hovyohovyo tu,mtu akiumwa kichwa kanywa Vivian,wadada sikuhizi wanakunywa bia mpk unajiuliza huyu nikienda kulalanae yeye ndo atakuwa nyamnyam au Mimi ndio nyamnyam yake!..😅
 
Nyamnyam ndio Nini we chawa🤣
 
Ewaaaaaah mnakulakula sana chipsi yai
Tatizo la nguvu za kiume kwa wanaume linaongezwa tu si halisi!, wanaume wengi tu tunazo nguvu vizuri tu isipokuwa watu wanaharibiwa kisaikolojia na Moja kati ya watu mnaowaharibu ni nyinyi watoto wakike!... Mtu kalala nawewe leo kawahi kumaliza ushamshushua!,ushampa maneno lukuki kwamba hawezi kazi,hamna kitu,mara kibamia walahi hofu uliyomtengenezea hapo akiibeba itamtafuna mpaka ajute... Naamini wenye matatizo ya nguvu za kiume ni wachache sana ila wenye sex anxiety ni wengi!.
 
Back
Top Bottom