Nduka
JF-Expert Member
- Dec 3, 2008
- 8,552
- 2,386
\kama baba yao Makamba! Full mipasho!
Hadi mje clean, hopeless CHADEMA.
\kama baba yao Makamba! Full mipasho!
Inauma kumbe eeeeee , pole pole vumilia eeeeee
Sugu kapora mke wa jafarai Shyrose na tabia hii kaiga kutoka kwa viongozi wa CDM wanaoishi na wake za watu gesti.
umejuaje kuwa waliopost hiyo topic ni Cdm?labda ni wa Cuf,Nccr,au hata Ccm wenyewe,kweli mna tatizo,mshahara ni sh ngapi?maana kazi ni kubwa kuliko Shitambala,lakini mwenzenu kalamba mil 500,kwa kurudisha kad tu,wewe je?au unatumika kama mpira ya kiume,
Hivi kupora manaake nini?nipe jibu faster.