Hope is fading away

Mzazi wako atakua anasikitika sana kuzaa bwabwa kama wewe,Chawa lenye roho mbaya
Ndio nina roho mbaya sana tena sana. Wewe mwenye roho nzuri imekufanya watoto wako waache kusoma St. Kayumba kama wa kwangu mwenye roho mbaya?
 
Sisi hatukulialia kuhusu Lissu, bali alikamatwa tu na sasa anatuhimiwa kwa Kesi yenye Hukumu ya Kula Kitanzi! HAKUNA kulialia!

Ninyi si mna mawakili wasomi kibao na ushahidi dhidi ya maovu ya Rostam mkisaidiwa na Polepole, britanicca na Mange si mnao? Kinachowafanya msimfungilie mashtaka huyo Rostam ni nini? Acha kulialia! Nyambafu!!
 
CCM ina haribu nchi, hiki chama kinabidi kufumuliwa, yaan katiba ya chama ibadilike kabisa, na katiba ya Nchi ibadilike pia.
 
Baada ya Mwabukusi kutoka kuongea na Rais samia, Hope ilijaa kwa wana JF kuwa soon Lisu ataachiwa.

My heart is bleeding, HOPE IS FADING AWAY!


View attachment 3461350
Aachiwe kwani amemaliza kesi? Samia na Mwabukusi ndio Wana orders za kuachilia watuhumiwa wa uhalifu?

Labda ikifika Ile tarehe ya msamaha wa Rais December
 
Kibaraka hatokuja kuwa Rais Nchi hii msipoteze Nguvu Bure
 
Tajiri mwekezaji anakuibiaje Sasa? Unadhani watu watakula maneno yenu matupu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…