Hope is fading away

Hope is fading away

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,146
Reaction score
96,196
Baada ya Mwabukusi kutoka kuongea na Rais samia, Hope ilijaa kwa wana JF kuwa soon Lisu ataachiwa.

My heart is bleeding, HOPE IS FADING AWAY!

1756734211684.png
 
Hapana haiwezekani mkuu, mbona huyu mama ataandamwa yeye na familia yake....usione kimya,watu mtaani they pray for Lissu aisee
Prayers kama zingekuwa zinasaidia zingewasaidia watu wa Gaza kwanza. Au mnadhani Mungu yupo Tanzania tu?

Mwanaye wa pekee alisema bayana kuwa ya Mungu yatatuliwe kiroho lkn ya kiserikali yatatuliwe kiserikali (ya Mungu mpe Mungu lkn ya Kaisari mpe Kaisari).
 
Sad
 
Back
Top Bottom