Picha yako mkuu,ili member humu wakutambuePicha gan tena mkuu
Usiwaongelee wasiojulikana mkuu,utakuwa hujali usikuMi mtu nsojulikana mkuu kwan ushaonaga picha za wasojulikana.
karibu..wewe ni KE au MEMamb vp wapendwa mie mgen hum ila i hope tutakua pamoja[emoji120]
karibu sana bibieN KE mkuu
[emoji9] [emoji10] [emoji11]Athante