Wanajamii naomba ufafanuzi. Hivi kwa nini warsha za siku hizi wanatakiwa wakuu wa mikoa au wilaya kuzifungua au kuzifunga na wakifanya hivyo wanapewa bahasha za honoraria zenye viwango tofauti kuanzia laki moja? Hii imekaaje wakati wako maeneo yao ya kazi? Nawasilisha