Honoraria za wakuu wa mikoa na wilaya

Kiti

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
359
233
Wanajamii naomba ufafanuzi. Hivi kwa nini warsha za siku hizi wanatakiwa wakuu wa mikoa au wilaya kuzifungua au kuzifunga na wakifanya hivyo wanapewa bahasha za honoraria zenye viwango tofauti kuanzia laki moja? Hii imekaaje wakati wako maeneo yao ya kazi? Nawasilisha
 
Unazungumzia warsha za wapi? Na hicho kiwango umekitoa wapi maana habari yako inaonekana shallow and probably hypothetical.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom