- Thread starter
- #21
Makahaba waliojaa huku znz wote hutoka tanganyika sasa sijui hawana maadili au njaa kali,nani kakuambia tunakuja kujiuza zanzbar kwa sababu ya uongozi? Tunajadili mada yako juu ya uhuru wa zanzbar, we unaleta habari ya si kujiuza!! Kaa!
OK reason as a man, niambie ni taifa gani duniani lisilo na malaya despite utawala mzuri walionao? Tusichanganye mambo
sheria za dini zikiwa vizuri vitendo hivyo hupungua ingawa nakubali huwezi maliza lakini inakuwa kidogo sana sasa ni kama fashion kila ijumaa wanawake wanaingia rundo wanazurura kwenye kumbi za starehe na mahoteli jumatatu wanarudi Dar baada ya kufanya uchafu wa kutisha wengine mpaka kwenye mitaro humohumo.