adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 10,991
- 23,201
Duh! inaelekea kuna mengi nyuma ya pazia yapo pale.Sua inabidi ifanyiwe auditing kali sana.
Both academically and financially.
Duh! inaelekea kuna mengi nyuma ya pazia yapo pale.Sua inabidi ifanyiwe auditing kali sana.
Both academically and financially.
Si ndio ushangae sasa. Tz kuna upungufu wa vyuo vikuu lakn jamaa anasema hata vlivyopn vifutwKwa sababu zipi ?
Badala ya kusoma bible studies, waanzishe makanisa ya kupiga hela au political science wakawe wabunge-wakapige meza makofi, jioni wanakunja 300k au diplomacy wale teuzi za mama za ubalozi mara uk, usa, japan etc, wanahangaika na physicsBongo unasoma bachelor ya physics ili uwe nani?
Hata audit ikifanyika hakuna kitakachobadilika. SUA wana ruhusa ya kiongozi mkuu ya kula kwa urefu wa kamba zao.Duh! inaelekea kuna mengi nyuma ya pazia yapo pale.
TAEC miyeyusho walitangaza ajira kama 10 mwaka jana za watu wa BSc in physicsWewe utakua hujamuelewa mtoa mada,anamaanisha hizo kozi ni zile bachelor of science with education,humo kuna Physics Math n.k.
Bongo ukiwa na bachelor ya Physics tupu TAEC hukosi.
Yaonekana ni udhaifu wa vyuo vyote. UD nayo sasa eti inafundisha kilimo. Wasiwasi wangu ni kuanzia kwa viongozi wa vyuo hivi. Ukikutana na mmoja wa viongozi wa vyuo vyetu, usiangalie suti aliyovaa. Halafu ongea naye, mara moja unakata tamaa.Sua kuanza kuongeza makozi ya biashara, ualimu nilijua sasa kinaenda halijojo.