Hongereni uongozi wa Jf | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hongereni uongozi wa Jf

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Jan 29, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jan 29, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Napenda kuchukuwa nafasi hii wana Jf wenzangu kuupongeza uongozi mzima wa Jf kwa mabadiliko waliyoyaleta juu ya mwonekano mzima wa PAGE ya JF baada ya kuifunguwa,kwani kwa sasa imekuwa ni rahisi sana kusoma mada na kurudi ktk mada yeyote uitakayo pasipo kupata tabu kama awali

  Pia imekuwa rahisi sana ktk utafutaji wa topic kulingana na hata kama utakuwa umemaliza kuchangia ama kusoma thread ni rahisi kuendelea na Forum zifuatazo

  lakini pia niwapongoze kwa jinsi mlivyo jaribu kuwa makini na kuheshimu michango ya Wana jf na kuweza kuwatahadhalisha wale wanao dhani JF ipo kwa ajili ya SISA.

  Jf daima,hatutorudi nyuma
  mshikamano daima pamoja tutajenga


  mapinduziiii daimaaaaa:sad::bump::A S-alert1::A S crown-1:
   
Loading...