and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,103
Hakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.
Mhhhhhh. Hata ukicheka mbele za watu ,utakuja na postHakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.
Sio tume, ni takwa la kisheria usiposaini, umenyoosha mikono. Hata mchezo wa Mpira una kanuni za kabla ya mchezo kuanza, wakati wa mchezo na baada.Em tuachane na mambo ya Reform za Chadema, kwahy n serious tume imewaondoa Chadema kushiriki kisa hawajasain hizo kanuni?
huyo mme wako mwenye kofia ndiye aliewaita dodoma kusaini maadili ya uchaguzi ni uhuni wa kishamba sana CCM siasa za ushindani maji ya shingoTume huru kila kitu huru. Bado CHADEMA wanaogopa
Hakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.
🚮Hakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.
Tume huru kweli kweliTume ya CCM eti ndiyo isimamie uchaguzi wa nchi - tumeshastuka.
Tume makiniHakika Tume ni HURU kweli kweli. Kanuni za Maadili ya Uchaguzi zinasainiwa peupe. Tunajivunia. Tukutane site Oktoba 2025.
Tunapuuza haki za binadamu, kuonea watu - Nyerere
View: https://youtube.com/shorts/4Oi5H8WeKWg?si=0NxZHs4ywLCJzC_9