Zote ni shared mkuu, kuanzia nduki 256kbp hadi nduki 2mbp zote hizo ni shared hivyo speed inategemea na wenzio wanafanya nini kwa wakati huo.
Speed ya juu kabisa ya nduki 256kbp ni 35Kbp...sijajua kama wamebadilika maana mwanzoni ulikuwa ukiunganishwa na huduma zao za internet usipo tumia mwezi mzima labda kama umesafiri n'k,
ukitaka kutumia tena huduma yao lazima uandike barua ya maombi ya huduma hiyo tena na kulipia tsh 25,000 ya kuombea huduma hiyo nje ya malipo ya vifurushi vyao