Ww kama sio January ni mchepuko au chawa wake. Kamwambie January hujatukuta.Habarini wadau,
Nakiwa katikati ya jiji la Dar es salaam kitovu cha biashara Tanzania. Leo tumeshuhudia mvua kubwa sana isiyokatika.
Jambo moja lililonifurahisha ni kuwa pamoja na mvua hii yote umeme upo stable na haujakatika kitu ambacho kwa zamani ilikuwa ndoto.
Ilikuwa mvua ikianza tu sahau umeme mpaka mvua ikatike. Mvua ikiaanza kaa mbali na nguzo za umeme maana zinaanguka kama majani kwenye mti. Nikatafakari kidogo ni nini kimebadilika, nikakumbuka kuna waziri alisema tuwe na subira kuna matengenezo yanafanyika.
Wengi tulilalamika kuhusu bajeti na kusema kuna upigaji sasa kwenye hali kama hizi ndo tunaona umuhimu wake.
Tuwape maua yao.
Wapambe wa January Makamba na genge lake la wapigani na wasanii!
Ww kama sio January ni mchepuko au chawa wake. Kamwambie January hujatukuta.
Habarini wadau,
Nakiwa katikati ya jiji la Dar es salaam kitovu cha biashara Tanzania. Leo tumeshuhudia mvua kubwa sana isiyokatika.
Jambo moja lililonifurahisha ni kuwa pamoja na mvua hii yote umeme upo stable na haujakatika kitu ambacho kwa zamani ilikuwa ndoto.
Ilikuwa mvua ikianza tu sahau umeme mpaka mvua ikatike. Mvua ikiaanza kaa mbali na nguzo za umeme maana zinaanguka kama majani kwenye mti. Nikatafakari kidogo ni nini kimebadilika, nikakumbuka kuna waziri alisema tuwe na subira kuna matengenezo yanafanyika.
Wengi tulilalamika kuhusu bajeti na kusema kuna upigaji sasa kwenye hali kama hizi ndo tunaona umuhimu wake.
Tuwape maua yao.
Kwa hiyo bajeti ya juzi ndo imetengeza stability ya umeme leo? Dah Mungu tusaidie waja wako!!!Wengi tulilalamika kuhusu bajeti na kusema kuna upigaji sasa kwenye hali kama hizi ndo tunaona umuhimu wake
Kwa hiyo bajeti ya juzi ndo imetengeza stability ya umeme leo? Dah Mungu tusaidie waja wako!!!