Unaonekana umewadharau sana
Acheni kuwatisha madogo muhimu wanywe maji ya kutosha, wachukue mavaz ya kuogelea, night dress na kila ambacho wanaona kitawafaa ktk kula kuku kwa mrija!
Acheni kuwatisha madogo muhimu wanywe maji ya kutosha, wachukue mavaz ya kuogelea, night dress na kila ambacho wanaona kitawafaa ktk kula kuku kwa mrija!
Majeshi si lelemama hayawezi kubembelezana
Majeshi si lelemama hayawezi kubembelezana
Sio tu masimango yalizidi,pia mateso na mauaji.ama kweli jkt imerudishwa kufundisha uzalendo wa hali ya juu.
Up, up, up, up,.....! Aaaaaaah! Hamuimbieenh! (Tunaimba Afandeeeeee) Haya lala chini.... Craw, craw, craw... Simama juu... (Uuuuuuuup)... Kumbe wazito eeeeenh! Chuchumaa chini.. Ruka, ruka, ruka..... Simama juu up...! (uuup)... Haya imba... Up, up, up, up, up,......, kurutaaaa.... (Afandeeee) hapa ni wapi....? (Hatupajui Afandeee) Hapa ni mess.... Wazi kurutaa? (wazi Afandeee) huruhusiwi kufika bila idhini ya kiongozi wako... Wazi Wazalendoo...? (Wazi Afandeee) Aaaah nyie ni wazalendo...? (Hapana Afandeee) Baba yamehharibu kazi babaa 'yarolly'....... Vipi hali cku hiyo ilikuwaje.......? CHEZEA JKT WEYE....!!!!!!!!!