Hongereni mnaopendana

Dad165

Member
Sep 9, 2023
64
186
Mvua inaendelea kunyesha mjini hapa na bila shaka kila mmoja anachukua tahadhali stahiki ili kuendelea kubaki salama.

Hongereni sana mnaopendana. Mliopendana bila kujali hali au mazingira ya kiuchumi na kisha uchumi ukawafuata. Mapenzi ni matamu sana kama upendo unatoka moyoni. Siku hizi mapenzi yameathiriwa na kigezo cha pesa.

Wazazi wetu walifaidi sana enzi zao. Kwa sasa unaweza kumpenda mtu na yeye akawa amependa uchumi wako:p
 
Win Win Situation - Zingatia Maokoto.
 
changamoto ya nguvu za kijinsia imeingilia kati na kuongeza unyonye kwa wapendanao, licha ya hali ya hewa kichocheo kua bayana, hurumaaaaa eee dah, jamaa lina six packs kabisa lakini huko chini legevu baridi 🐒
 
Unawaza uzinzi tu ....hata hawapendani😂🔥
 
Attachments

  • 255623140747_status_96a7675bb7254e3b9a07b0a00d5bd83a.jpg
    255623140747_status_96a7675bb7254e3b9a07b0a00d5bd83a.jpg
    14.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom