Hongereni madaktari wote

Hongereni madaktari wote

ujana wangu niliwah kutana na mwanaume eti nikamwambia naitwa priyanka chopra akaamini! akawa anasema una jina unique! we kabila gan! hahahahaha alikuwa kilazaaaa! akawa ananiita priyanka! tetetetetet Michael popote ulipo heheheheh!
Hahahaha!!
Kweli usilolijua ni usiku wa giza,

Bila shaka u-mpenzi wa Bollywood movies..?
 
Hahahaha nafanya mazoez ya kusifia wamama

sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
Baadhi yenu mlikuwa waoga wa hesabu toka shule ya msingi,,A- level Bam ikawa inawachachafya baadhi yenu.
 
MAdaktari walikuwa enzi zile! husomi mpaka umepasi vizuri, sio sasa madaktari wamepata division 3 form six, anaenda kuunga unga sijui MEdical Assistant halafu anaunga weee anakuwa daktari! no wonder madaktari hawana kazi sasa hivi! enzi zile ukipata three unangaliwa somo gani umeaulu unapelekwa chuo cha ualimu ukasomee somo hilo!

MAdaktari wa sasa hivi tuwaangalie kwa macho mawili! FANI IMEINGILIWA!
 
MAdaktari walikuwa enzi zile! husomi mpaka umepasi vizuri, sio sasa madaktari wamepata division 3 form six, anaenda kuunga unga sijui MEdical Assistant halafu anaunga weee anakuwa daktari! no wonder madaktari hawana kazi sasa hivi! enzi zile ukipata three unangaliwa somo gani umeaulu unapelekwa chuo cha ualimu ukasomee somo hilo!

MAdaktari wa sasa hivi tuwaangalie kwa macho mawili! FANI IMEINGILIWA!
Mkuu,kwa hiyo wewe umesoma enzi zile...?
 
Nazungumzia madaktari wenye degree ya udaktari MD not clinical officers

Taaluma ya udaktari ndio taaluma yenye heshima na yenye kusifika dunian.

Bila shaka kila mmoja wenu alishawai kua na ndoto za kuja kua daktari au wazazi wake walikua na ndoto hiyo juu yake au yeye mwenyewe anataman watoto wake waje kua madaktari ..

Hii sio tuu kutamani kua madaktari rahasha bali walitaman wawe na akili shulen kwani huwez kuja kua daktari kama huna akili darasani, ni 100% kua kila alie daktari basi anahistori ya kua namba moja au kua top three katika darasa either primary au secondary au chuo hakuna daktari ambae hajawai kua kichwa cha darasa...

Imshort huwez kua daktari kama ulikua low score baby never ,huwez kua daktari kama uliwai kuugua utapiamlo utotoni ...

Ata uwe professor wa sheria au uchumi ukikutana na daktari mwenye degree moja tuu ya MD lazima heshima iwepo

Popote mlipo madaktari agizeni vinywaji nakuja kulipia

NB: povu ruksa kwa wale ma- low score baby
Na wale mliowai kuugua utapiamlo...

sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app

Kwanza siyo kila mtoto amewahi kutamani kuwa daktari, binafsi Mimi sijawahi kupenda wala kuutamani udaktari. Nawaona madaktari ni watu wazembe sana kiakili, japo wana moyo wa kazi.
Huwezi kuwa na akili timamu ukasoma udaktari
Ni kazi ya kipuuzi sana, kazi gani unakesha kesha usiku, kusoma soma hovyo , nguvu nyingi kama tembo matokeo sisimizi, jamaa zangu madaktari huwa nawaonea sana huruma.
Alafu kwa Tanzania na dunia kwa ujumla , Dani zinazoongoza na kupendwa na watu wenye IQ kubwa ni zinazohusu MATHEMATICS, siyo huo ushuzi wa Medicine. Kadanganye wajinga wenzio. Au nenda coet tu ukakutane na vichwa
 
Hahahaaa!we jamaa kama umekurupuka hivi!Mimi kuna jamaa namfahamu kabisa(kwa sasa ni dokta) asee huyu jamaa nlisoma shule ya msingi hakuwahi kuwepo hata kwny ishirini bora kwa kifupi alikuwa kilaza pamoja na kwamba pesa ipo,wakati wenzake tunafaulu kwenda Azaboy enzi zile kwakuwa kwao mpunga upo akapelekwa private sec school(hata sec yenyewe alopelekwa ni ya vilaza vile vile), jamaa akamaliza akaenda kusoma udaktari kwenye chuo cha vilaza na sasa hivi ni dokta kilaza, I dare to say that!Kwa hyo jamaa futa kauli yako,kuwa madaktari wote walikuwa wanakimbiza shule!!Waliokuwa vizuri tunawajua na vilaza tunawajua!

Sikiliza Toka Kwangu!
Wivu 100%
 
Mkuu,kwa hiyo wewe umesoma enzi zile...?

Ndio mimi nimesoma enzi zile Elimu ilikuwa ukifeli unaona aibu! ukisoma shule za Private unaona AIBU kubwa! sasa hivi ndio sifa !

Sasa hivi hawa madaktari nawaona kama WALE WA BUCHANI WAUZA NYAMA NA MAKOTI YAO MEUPE! sijapa ona mtu anapata EEE anaunga unga weee eti anakuwa DOkta! Doh!
 
Eti na wale wa kukariri urefu km za barabara ni madaktari, bure
 
Hayo ni mawazo mabovu,

Nawaheshimu Madaktari wote,

Ni hivi huku kwetu tuko nyuma kwenye sekta nyingi ikiwemo elimu pia, na huu ubovu wa kufikiri kuwa Daktari ni kama malaika sijui umetoka wapi!?

Binafsi nina marafiki zangu wengi ambao upeo wao darasani ulikuwa wa kawaida sana lakini walipenda udaktari hivyo waliweka bidii kwa maksi hizo hizo za average wakaendelea mpaka wakafanikiwa.

Na ni kweli kuna ugumu kidogo kwenye kusomea udaktari kulinganisha na baadhi ya fani nyingine lakini ugumu huo hauwafanyi madaktari kuwa na upeo mkubwa wa kufikiri kuliko wengine.

Upeo mkubwa wa maarifa mbalimbali huwa haujalishi mtu alisomea fani gani.

Unaweza kuwa hata hukufika chuo lakini upeo wako ukawa mkubwa wa kufikiri kwenye mambo mbalimbali.
Na wapo wengine wazuri kwenye fani zao tu kwenye mambo mengine weupe kabisa.

Na hili jambo ndo lilipelekea Madaktari wetu kugoma wakitaka kuongezewa mishahara kwa kiwango cha ajabu wakati uchumi wetu ulikuwa hauruhusu.

Mfano waalimu pia na wenyewe walitakiwa waheshimiwe na waangaliwe sana kwa maana maisha yao wengi ni ya shida na ndio wametulea na kutusaidia kwenye kila nyanja, binafsi huwa nawaombea hata dua kwa MWENYEZI,
Wametufundisha kuanzia kuandika, kusoma, kuhoji nk.

Ninaamini bado kuna asilimia nyingi ya watanzania esp vijijini wanaishi mpaka wanakufa hawamjui daktari wala hospitali.

Heshima yangu kwa madaktari wote, na nyinyi MWENYEZI awabariki pia na ninawapenda sana.

Hitimisho: UPEO MKUBWA WA MTU KUFIKIRI NI MADA NDEFU NA TATA KIGEZO CHA KUWA DAKTARI NDO UNA UPEO MKUBWA KUSHINDA WENGINE SIO KWELI.
 
Back
Top Bottom